Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss wale raia wa kule ni snitch. Adui anakuja na mabox ya kura, mnapiga kura kwa utulivu kabisa hakuna hata wa kurusha jiwe? Adui anatangaza matokeo ya kura raia wana bendera za kushangilia ushindi? Binafsi sioni umuhimu wa kuwapigania hao, ni wasaliti. Labda uniambie hawa raia ni warusi wanafanya maigizo na sio wa hayo majimbo.Mkuu hapa sasa umeeleweka lakini kule kwenye uzi mama unasema Ukraine waachie hayo majimbo kuokoa wanajeshi wao kwakuwa watu wa maeneo hayo wanashangilia kuwa sehemu ya Russia,lakini unasahau pengine wanashangilia kwa uwoga ili wasionekane wasumbufu kwa 'utawala mpya chini ya Russia' au wanaoshangilia ni sehemu ndogo tu ya watu wote.
Hivi upo serious kabisa kuwa Urusi ni number one propagandist Duniani kweli?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaona anashindwa na anaanza yapoteza hayo majimbo kadili muda unavyoenda
Sababu Urusi ni taifa linaloongozwa kwa propaganda kwahiyo anawaaminisha majimbo wameyachukua raia wake katika fantasy journey yake ili yakirudi awalaumu Warusi kushindwa yalinda na sio yeye
Boss wale raia wa kule ni snitch. Adui anakuja na mabox ya kura, mnapiga kura kwa utulivu kabisa hakuna hata wa kurusha jiwe? Adui anatangaza matokeo ya kura raia wana bendera za kushangilia ushindi? Binafsi sioni umuhimu wa kuwapigania hao, ni wasaliti. Labda uniambie hawa raia ni warusi wanafanya maigizo na sio wa hayo majimbo.View attachment 2373345View attachment 2373343View attachment 2373367
Yoda hizi ni picha ila katika uhalisia palitakiwa pawepo na upinzani kutoka kwa raia hata kama msimamo wako ni mkali kuhusu kuitetea Ukraine ila najua ungepata nguvu iwapo ungeshuhudia either maandamano ya kupinga uchaguzi, matukio ya vituo kuchomwa moto, wasimamizi kutupiwa mawe au basi hata upinzani wa kawaida kabisa wa kususia uchaguzi.
Wewe baki hapo kijiweni, huijui Russia wewe toka wakati wa Vladimir Lenin hadi leo. Hujui jukumu muhimu iliyonayo propaganda katika ukomunisti. Ngoja nikuache hivyo hivyo.Hivi upo serious kabisa kuwa Urusi ni number one propagandist Duniani kweli?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu fanya hata kugoogle basi ujielimishe. US ndie number one propagandist wa hii dunia sababu anategemea maneno mengi kufanya ushawishi ili apate washirika.
Russia ni socialist na ana influence ndogo sana kwenye mataifa mengine. Anachofanya yeye ni kuwa ideologist anapokuwa karibu ya taifa fulani.
Wewe inaonekana umeshiba propaganda ya Russia, uliona wapi wapiga kura wanafuatwa na masanduku ya kura majumbani mwao, hadi wengine wanapigiwa kura na wanajeshi wa Russia. Hovyo sana.Yoda hizi ni picha ila katika uhalisia palitakiwa pawepo na upinzani kutoka kwa raia hata kama msimamo wako ni mkali kuhusu kuitetea Ukraine ila najua ungepata nguvu iwapo ungeshuhudia either maandamano ya kupinga uchaguzi, matukio ya vituo kuchomwa moto, wasimamizi kutupiwa mawe au basi hata upinzani wa kawaida kabisa wa kususia uchaguzi.
Kwa akili ya kawaida tu palitakiwa pawepo na upinzani kutoka kwa raia. Hao raia ni liability kwa serikali ya Ukraine ndo maana imekuwa rahisi sana Putin kuamua hilo aliloamua na pia Zele hakutoa wito kwa raia wake wa hayo majimbo wafanye nn kuhusu uchaguzi?
Haya.Wewe inaonekana umeshiba propaganda ya Russia, uliona wapi wapiga kura wanafuatwa na masanduku ya kura majumbani mwao, hadi wengine wanapigiwa kura na wanajeshi wa Russia. Hovyo sana.
Katika Taifa ambalo namshukuru Mungu nimebahatika kulisoma sana na pia Marehemu Balozi wa zamani wakati ikiwa Soviet Union 1980s alikuwa ni Bibi rafiki yanguHivi upo serious kabisa kuwa Urusi ni number one propagandist Duniani kweli?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu fanya hata kugoogle basi ujielimishe. US ndie number one propagandist wa hii dunia sababu anategemea maneno mengi kufanya ushawishi ili apate washirika.
Russia ni socialist na ana influence ndogo sana kwenye mataifa mengine. Anachofanya yeye ni kuwa ideologist anapokuwa karibu ya taifa fulani.
Unalike 9 zikifika 20 Niite mbwaHuyu Putin naye sijui Akili zake zimehama au vipi?
Unatangazaje kuyajumuisha majimbo ambayo hauyadhibiti kijeshi kwa 100%. Mpaka Sasa Urusi imeshindwa kuyateka kijeshi kwa 100% majimbo ya Donbas(Luhansk na Dotnesk). Huko Dotnesk Urusi inamiliki 58% ya Jimbo lote na 80% ya Jimbo la Luhansk.
Miji Mkuu wa Zaporhzhzia na Dotnesk (Kramatosk) bado inadhibitiwa na Majeshi ya Ukraine. Mji mkuu wa Jimbo la Luhansk wa Lysychansk na Severodotnesk ndio inadhibitiwa na Urusi TU. Kwanini Putin ameshindwa kusubili Majeshi Yake yateke eneo lote la majimbo hayo Manne?
Maoni yangu
Baada ya ile CounterOffensive ya Majeshi ya Ukraine kuyafurusha Majeshi ya Urusi kwenye Jimbo la Kharkiv,Basi Putin ameona Bora ajitangazie Ushindi Kabla Mambo hayajawa magumu kwa upande wake. Sasa Urusi inataka kutishia Nyuklia Endapo Ukraine itaendelea na CounterOffensive kwenye hayo majimbo.
Kama huu mkwala wa Putin utawaingia Marekani na kuogopa kuipa Silaha Ukraine Basi huu utakuwa Ushindi kwa Putin. Ngoja tusubiri tuone.