Mbona Rais Putin anaweweseka?

Putin.njoo Tz tukupe yote huitaji kuleta hata askari.mmoja.Panya road wameweza kuchukua Dar kwa siku mbili kwa mapanga duu njooo huku baba kuna watu na MITOZO tu
 
Putin amechanganyikwa vibaya sana
 
Boss wale raia wa kule ni snitch. Adui anakuja na mabox ya kura, mnapiga kura kwa utulivu kabisa hakuna hata wa kurusha jiwe? Adui anatangaza matokeo ya kura raia wana bendera za kushangilia ushindi? Binafsi sioni umuhimu wa kuwapigania hao, ni wasaliti. Labda uniambie hawa raia ni warusi wanafanya maigizo na sio wa hayo majimbo.
 
Huwa mnatazama taarifa ya habari ya channel gani?! Kama mnatazama hawa BBC, CNN, Al Jazeera, sky news, etc hawa wengi wameshashikwa akili na US na washirika wake. So habari zao wanapotosha ili kutengeneza propaganda za kulaghai ulimwengu na jumuiya ya kimataifa juu ya kinachotokea huko Ukraine.

Tazama channel za China utaona habari zilivyo tofauti na accurate.
 
Hivi upo serious kabisa kuwa Urusi ni number one propagandist Duniani kweli?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu fanya hata kugoogle basi ujielimishe. US ndie number one propagandist wa hii dunia sababu anategemea maneno mengi kufanya ushawishi ili apate washirika.

Russia ni socialist na ana influence ndogo sana kwenye mataifa mengine. Anachofanya yeye ni kuwa ideologist anapokuwa karibu ya taifa fulani.
 
Yoda hizi ni picha ila katika uhalisia palitakiwa pawepo na upinzani kutoka kwa raia hata kama msimamo wako ni mkali kuhusu kuitetea Ukraine ila najua ungepata nguvu iwapo ungeshuhudia either maandamano ya kupinga uchaguzi, matukio ya vituo kuchomwa moto, wasimamizi kutupiwa mawe au basi hata upinzani wa kawaida kabisa wa kususia uchaguzi.

Kwa akili ya kawaida tu palitakiwa pawepo na upinzani kutoka kwa raia. Hao raia ni liability kwa serikali ya Ukraine ndo maana imekuwa rahisi sana Putin kuamua hilo aliloamua na pia Zele hakutoa wito kwa raia wake wa hayo majimbo wafanye nn kuhusu uchaguzi?
 
Wewe baki hapo kijiweni, huijui Russia wewe toka wakati wa Vladimir Lenin hadi leo. Hujui jukumu muhimu iliyonayo propaganda katika ukomunisti. Ngoja nikuache hivyo hivyo.
 
Wewe inaonekana umeshiba propaganda ya Russia, uliona wapi wapiga kura wanafuatwa na masanduku ya kura majumbani mwao, hadi wengine wanapigiwa kura na wanajeshi wa Russia. Hovyo sana.
 
Wewe inaonekana umeshiba propaganda ya Russia, uliona wapi wapiga kura wanafuatwa na masanduku ya kura majumbani mwao, hadi wengine wanapigiwa kura na wanajeshi wa Russia. Hovyo sana.
Haya.
 
Katika Taifa ambalo namshukuru Mungu nimebahatika kulisoma sana na pia Marehemu Balozi wa zamani wakati ikiwa Soviet Union 1980s alikuwa ni Bibi rafiki yangu

Kwahiyo alinipa sana vitabu vya wajamaa na manifesto zao

Niamini nachokuambia Urusi anapotaka jambo lake huwa anakuja na propaganda nyingi na pia yupo tayari hata kuua watu wake kufanikisha malengo.

We Jeshi lake tu Muundo wake kulikuwa na afisa pia mwenye dhamana hiyo ya propaganda kwa vikosi vinavyokuwa mstari wa mbele

 
Unalike 9 zikifika 20 Niite mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…