Wengi wetu tulitoka kila kona ya nchi hii kuja kushuhudia DABI kati ya Timu ya Yanga na Simba na mwisho wa siku mchezo huo haukufanyika kutokana na timu ya Simba kutofika uwanjani na Yanga walitii sheria zote za ligi na kupeleka timu yao uwanjani.
Baada ya mchezo huu kuhairishwa Bodi ya Ligi ulitaarifu umma kwamba watatoa taarifa ni kwa nini mchezo huo uliahirishwa. Mpaka leo Bodi ya Ligi haijatoa taarifa yake ni kwa nini mchezo huu ulihairishwa licha sisi umma wote Tanzania kuisubiri ripoti hiyo kwa hamu kubwa.
Tujiulize, Je kuna nini nyuma ya pazia?. Bodi ya Ligi tendeni haki ili umma wote wa Watanzania wajue ni kwa nini dabi hii ilihairishwa.