Kiongozi mbona una akili za kushikiwa sana.WaTanzania nikama tumelaniwa badala ya kuwaza postive tunashikilia trivial issues, wenzetu wanapambana na covid sasa wako huru kiasi, sisi tunajidili aina ya chanjo, cmna wana sayansi muhimbili tegenezeni ya kwanu.
Watu kama Gwajima wanao tumia udhaifu ya watu kuwa potosha zaid ni hatari kabisa ni kwasabb ni CCM ni basi tu.
Kajifunze kwanza kuandika urudi kuandika utopolo wako.WaTanzania nikama tumelaniwa badala ya kuwaza postive tunashikilia trivial issues, wenzetu wanapambana na covid sasa wako huru kiasi, sisi tunajidili aina ya chanjo, cmna wana sayansi muhimbili tegenezeni ya kwanu.
Watu kama Gwajima wanao tumia udhaifu ya watu kuwa potosha zaid ni hatari kabisa ni kwasabb ni CCM ni basi tu.
Wenye dunia yao wakikutaka hutoki vitu vingi kutoka kwao tunatumia hivyo wakidhamiria kufanya ubaya watafanya kwa njia yoyote.Mimi nakuambiaje serekali ya huyu mama ni dhalimu kabisa katika afya ya watanzania katika hi chanjo wana lao jambo ni Mungu tu aepushilie mbali.
Sichomi na haitoka ikatokea nikachoma.
Kwahiyo unataka kuniaminisha nini au kuniogopesha nini?Wenye dunia yao wakikutaka hutoki vitu vingi kutoka kwao tunatumia hivyo wakidhamiria kufanya ubaya watafanya kwa njia yoyote.
Sijui kama ni kukuaminisha au kukuogopesha lakini ninachokuambia kama unafikiri hizo chanjo zimekuja kwa lengo la kudhuru watu unaweza kuacha kuchoma lakini iwapo hao jamaa kama ni kweli wana lengo la kudhuru watu basi hutoweza kukwepa mitego yao maana vingi tunavyotumia vinatoka huko na wanaweza kufanikisha lengo lao kwa njia yoyote.Kwahiyo unataka kuniaminisha nini au kuniogopesha nini?
Ingechaguliwa nyingine bado ungesema hivyo hivyo.mkuu mbona tumechaguliwa aina ya chanjo wakati chanjo zipo nyingi?
"kufanikisha lengo lao kwa njia yoyote"bado unarudi palepale nakuliza tena unataka kuniogopesha nini hasa?Sijui kama ni kukuaminisha au kukuogopesha lakini ninachokuambia kama unafikiri hizo chanjo zimekuja kwa lengo la kudhuru watu unaweza kuacha kuchoma lakini iwapo hao jamaa kama ni kweli wana lengo la kudhuru watu basi hutoweza kukwepa mitego yao maana vingi tunavyotumia vinatoka huko na wanaweza kufanikisha lengo lao kwa njia yoyote.
Uwe unaelewa, nimesema kama unafikiri hiyo chanjo ina lengo la kudhuru watu basi ikiwa ni kweli wana lengo hilo ndio nikasema wanaweza "kufanikisha lengo lao kwa njia yoyote" maana kuna sehemu kubwa ya mahitaji yetu ya msingi yanatoka kwao,je tunaweza kuepuka mitego yao?"kufanikisha lengo lao kwa njia yoyote"bado unarudi palepale nakuliza tena unataka kuniogopesha nini hasa?
Unaogopa chanjo ya Korona ilhali kondomu unazotumia zinatoka kwao! Chanjo wanazochanja wanao za polio, dondakoo na nyinginezo ni zao. ARV ni zao.Kwahiyo unataka kuniaminisha nini au kuniogopesha nini?
Leo katika hotuba ya MH Rais amesikika akisema wameshakubalia taasisi mbalimbali kuagiza chanjo za aina wanayoitaka wao, taasisi mojawapo ni ya Mzee Azim Dewji.
Najiuliza mbona suala kama hili la chanjo Serikali inashindwa kuwa na kauli moja ya aina ya chanjo itakayowafaa Watanzania ukizingatia tumeambiwa Chanjo tunanunua kwa fedha zetu za kodi? Mbona Serikali imetuchagulia chanjo ya John & Jonson pekee? Je, Serikali ina maslahi katika hiyo kampuni ya Chanjo?
OMBI
Tunaomba Serikali iwape Watanzania uwanja mpana wa kuchagua aina ya chanjo wanayoitaka maana chanjo zipo za aina nyingi kama Pfizer, AstraZenecca n.k
Mama kasema aina nyingine ziko njian kama moderna na Pfizer. Subiria hizo.Mkuu mbona tumechaguliwa aina ya chanjo wakati chanjo zipo nyingi?
Hili la chanjo ni sawa na la muuza karanga ukikubali tu offer ya kuonja za bure habanduki mpaka umnunuze.. Tulivyopewa zawadi ile za zile chanjo milion moja nilijua tu kifuatacho ITV... NI HIKI.!Leo katika hotuba ya MH Rais amesikika akisema wameshakubalia taasisi mbalimbali kuagiza chanjo za aina wanayoitaka wao, taasisi mojawapo ni ya Mzee Azim Dewji.
Najiuliza mbona suala kama hili la chanjo Serikali inashindwa kuwa na kauli moja ya aina ya chanjo itakayowafaa Watanzania ukizingatia tumeambiwa Chanjo tunanunua kwa fedha zetu za kodi? Mbona Serikali imetuchagulia chanjo ya John & Jonson pekee? Je, Serikali ina maslahi katika hiyo kampuni ya Chanjo?
OMBI
Tunaomba Serikali iwape Watanzania uwanja mpana wa kuchagua aina ya chanjo wanayoitaka maana chanjo zipo za aina nyingi kama Pfizer, AstraZenecca n.k