Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ukiambiwa haitakusaidia baki tu na misimamo yako.Kwahiyo unataka kuniambia nini labda?
Azim Dewji!🤔🤔,nimewahi kumsikia wapi vile!..Yes juzi kwA Gwajima
Kumbe jamaa alikua ashaweka mradi sawa sawa😂😂
GOOD QUESTIONKama Corona ipo kwanini chanjo ni hiari?
Sisi mbona tupo huru full nondoWaTanzania nikama tumelaniwa badala ya kuwaza postive tunashikilia trivial issues, wenzetu wanapambana na covid sasa wako huru kiasi, sisi tunajidili aina ya chanjo, cmna wana sayansi muhimbili tegenezeni ya kwanu.
Watu kama Gwajima wanao tumia udhaifu ya watu kuwa potosha zaid ni hatari kabisa ni kwasabb ni CCM ni basi tu.