Mbona sijamwona Mbowe kwenye shughuli ya kuchangisha fedha CHADEMA?

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
12,675
Reaction score
25,924
Tukio la jana, ili tuelewe kwamba ana moyo wa kukubaliana na matokeo, nilitegemea dj angekuwepo kuhamasisha. au amekaa pale asubiri wakose hela ya kuendeshea chama kama alivyosema?
 
Mbowe anafikiri Chadema haiwezi bila yeye, kumbe anakosea sana na bado ana kinyongo cha kukosa uenyekiti , ile nafasi hakuiachia Kwa moyo mkunjufu
 
Mwacheni Mwenyekiti mstaafu apumzike....!
 
  • Thanks
Reactions: G4N
jana kama angekuwa ilikuwa nafasi nzuri sana kuunganisha chama, kutokuja manake anapenda kiumie kwa kigezo kwamba yeye ni tajiri wenzake makapuku hawawezi kuendesha chama bila pesa zake. hii dharau watanzania tuichukulie umakini tuchange pesa hadi aone aibu.
 
Hatajiua kweli?
 
Hatajiua kweli?
hii ndio huwa wanasema, umekaa pale unasubiri mtu usiyempenda ahangaike kiuchumi, ghafla unashangaa anashuka kwenye range rover mpyaaaa ambayo wee hata huna uwezo kuinunua. watanzania tukiungana vyema, tunaweza kupata pesa nyingi sana kufanyia kampeni. Pia, hata crypto, najua maccm sasaivi watakuwa wanajiandaa kuzuia, hawajui kama sheria za tanzania haziruhusu, unaweza kufanyia hiyo biashara ya pesa mtandao nje ya nchi kule ambako sheria zinaruhusu, na kwa njia hiyo unaweza kupata wachangiaji wengi sana sana kwenye crypto.
 
Mbowe bado yupo likizo nje ya nchi, angekuwepo bila shaka angehudhuria!
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Tukio la jana, ili tuelewe kwamba ana moyo wa kukubaliana na matokeo, nilitegemea dj angekuwepo kuhamasisha. au amekaa pale asubiri wakose hela ya kuendeshea chama kama alivyosema?
Acheni mambo ya kike na kitoto… mmechaguliwa endeleeni na maisha yenu. Sijamsikia Mbowe tangu uchaguzi upite kitu ambacho ni sahihi atoe nafasi kwa uongozi mpya kusonga mbele sasa chokochoko zanini??
 
Tukio la jana, ili tuelewe kwamba ana moyo wa kukubaliana na matokeo, nilitegemea dj angekuwepo kuhamasisha. au amekaa pale asubiri wakose hela ya kuendeshea chama kama alivyosema?
Alizoea kuwepo kwenye hafla za cdm kama mwenyekiti, hivyo kwenda kama member wa kawaida kwake imeshindikana. Hayo ni madhara ya kukaa kwenye nafasi moja hasa ya juu kwa muda mrefu kupitiliza.
 
💯%
 
Tukio la jana, ili tuelewe kwamba ana moyo wa kukubaliana na matokeo, nilitegemea dj angekuwepo kuhamasisha. au amekaa pale asubiri wakose hela ya kuendeshea chama kama alivyosema?
Tatizo hazimhusu kwasasa
 
Back
Top Bottom