Mbona sijamwona Mbowe kwenye shughuli ya kuchangisha fedha CHADEMA?

Mbona sijamwona Mbowe kwenye shughuli ya kuchangisha fedha CHADEMA?

Tukio la jana, ili tuelewe kwamba ana moyo wa kukubaliana na matokeo, nilitegemea dj angekuwepo kuhamasisha. au amekaa pale asubiri wakose hela ya kuendeshea chama kama alivyosema?
Why mbowe kwani wote waliofuatilia walikua ukumbini ?
 
Huenda Mwamba anaumwa au anaudhuru mwingine.
 
Mbowe ni mjumbe wa kamati kuu na ana followers wengi. Kwa nini hatumii ushawishi wake kuunga mkono chama kipate fedha kupitia hii programu mpya?. Au ana kinyongo kwa kushindwa uenyekiti?
 
Acheni mambo ya kike na kitoto… mmechaguliwa endeleeni na maisha yenu. Sijamsikia Mbowe tangu uchaguzi upite kitu ambacho ni sahihi atoe nafasi kwa uongozi mpya kusonga mbele sasa chokochoko zanini??
Na wewe wacha usenge kwani kuuliza hivyo kosa lake nini Mbowe ni mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu ya chama, akitajwa Mbowe kigololi kinakushuka, tuliza kishundu hicho.
 
Kwani katiba ya chadema inasemaje?
Tuanzie hapo kwanza.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Tukio la jana, ili tuelewe kwamba ana moyo wa kukubaliana na matokeo, nilitegemea dj angekuwepo kuhamasisha. au amekaa pale asubiri wakose hela ya kuendeshea chama kama alivyosema?
Vibaka na matapeli wa kisiasa tafuteni pesa
 
jana kama angekuwa ilikuwa nafasi nzuri sana kuunganisha chama, kutokuja manake anapenda kiumie kwa kigezo kwamba yeye ni tajiri wenzake makapuku hawawezi kuendesha chama bila pesa zake. hii dharau watanzania tuichukulie umakini tuchange pesa hadi aone aibu.
Alisema yeye siyo mbangaizaji!

Ninakubaliana na wewe, tukio la jana ilikuwa ni nafasi nzuri sana kwake kuonyesha mapenzi yake kwa chama alicho kiongoza kwa muda mrefu.
Yeye ndiye angekuwa mstari wa mbele kabisa kuhimiza marafiki zake na wafuasi wake kuchangia chama. Hili lingemjengea heshima sana, baada ya kukosa busara ya kujuwa ni wakati gani wa kuachia wengine kuongoza chama.
 
Why mbowe kwani wote waliofuatilia walikua ukumbini ?
why mbowe? ni kwa sababu yeye alikuwa nkurunziza kwa miaka 20 na ushee bila lolote la maana zaidi ya kulamba asali na kusimanga wenzie kwamba ni wabangaizaji, hao waliopigwa risasi kwa sababu ya chama anasema ni wabangaizaji kwa sababu yeye hana risasi hata moja.
 
Kampeni ilikua iyo , na uchaguzi umeisha isha
 
FAM ni Chair Mstaafu, ni vizuri watu wapya wapambane na mawazo mengine tofauti! 😄
 
Tukio la jana, ili tuelewe kwamba ana moyo wa kukubaliana na matokeo, nilitegemea dj angekuwepo kuhamasisha. au amekaa pale asubiri wakose hela ya kuendeshea chama kama alivyosema?
Mbowe HAWEZI kukaa na kuchangisha pesa anayoweza kuitoa kwenye M - Pesa yake.
 
Ana hasira sana kuukosa Uenyekiti. Alidhani kuwa hawezi kushindwa lakini kura ikaamua hivyo.
 
jana kama angekuwa ilikuwa nafasi nzuri sana kuunganisha chama, kutokuja manake anapenda kiumie kwa kigezo kwamba yeye ni tajiri wenzake makapuku hawawezi kuendesha chama bila pesa zake.
Kwani uongo

Lisu na hao maskini wenzie hawana uwezo wa kuendesha chama

Chadema itadorora hadi basi
 
Back
Top Bottom