Mbona sijaona kiongoz wa sokohuru akikamatwa maana ni muhamasishaji namba 1 wa LBL

Mbona sijaona kiongoz wa sokohuru akikamatwa maana ni muhamasishaji namba 1 wa LBL

Moja ya watu ambao ni wa kwanza kuifahamu LBL
Kupitia wao ni SOKOHURU
Kila kukicha alikuwa anaitangaza viongozi wa mikoani wengi wamekamatwa huyu jamaa mbona hakamatwi?
Ilibidi iwe hivyo lakini hapa bongo land sahau. Wasanii na vituo vya TV vimetangaza Mr Kuku, Manguruwe, mradi wa vanila (1kg = 1M) hawakuchuliwa hatua yoyote. Ilibidi waanze na hao.
 
Ilibidi iwe hivyo lakini hapa bongo land sahau. Wasanii na vituo vya TV vimetangaza Mr Kuku, Manguruwe, mradi wa vanila (1kg = 1M) hawakuchuliwa hatua yoyote. Ilibidi waanze na hao.
🤣🤣 ITV wamepiga back to back Kalynda na Lbl, nadhani baada ya hapa watakua makini sana
 
🤣🤣 ITV wamepiga back to back Kalynda na Lbl, nadhani baada ya hapa watakua makini sana
Hao hawajifunzi 😂. Wangechukua hatua tangu kipindi cha Kalynda. Wasingeingia mkenge wa lbl
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Sidhani kama ITV waliitangaza LBL ila Kalyanda na Vanila Village walizitangaza sana.
LBL walirusha kama taarifa ya habari kwamba huko morogoro kampuni hiyo imezindua hivi na vile. Alikuwepo mpaka Diwani wa eneo hilo. Hawakuipromote kama ilivo kalynda. Ila iliruka kwenye taarifa yao ya habari. Nikipata muda nitaweka clip
 
Siku hizi ukiona kuna jambo linafanyiwa promo na comedians, radio, na machawa kwa wingi wao hasa kwenye ishu za fedha inabidi kuwa makini sana na hizo projects.
 
Back
Top Bottom