stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 259
- 483
Ilibidi iwe hivyo lakini hapa bongo land sahau. Wasanii na vituo vya TV vimetangaza Mr Kuku, Manguruwe, mradi wa vanila (1kg = 1M) hawakuchuliwa hatua yoyote. Ilibidi waanze na hao.Moja ya watu ambao ni wa kwanza kuifahamu LBL
Kupitia wao ni SOKOHURU
Kila kukicha alikuwa anaitangaza viongozi wa mikoani wengi wamekamatwa huyu jamaa mbona hakamatwi?
🤣🤣 ITV wamepiga back to back Kalynda na Lbl, nadhani baada ya hapa watakua makini sanaIlibidi iwe hivyo lakini hapa bongo land sahau. Wasanii na vituo vya TV vimetangaza Mr Kuku, Manguruwe, mradi wa vanila (1kg = 1M) hawakuchuliwa hatua yoyote. Ilibidi waanze na hao.
Sidhani kama ITV waliitangaza LBL ila Kalyanda na Vanila Village walizitangaza sana.🤣🤣 ITV wamepiga back to back Kalynda na Lbl, nadhani baada ya hapa watakua makini sana
Hao hawajifunzi 😂. Wangechukua hatua tangu kipindi cha Kalynda. Wasingeingia mkenge wa lbl🤣🤣 ITV wamepiga back to back Kalynda na Lbl, nadhani baada ya hapa watakua makini sana
LBL walirusha kama taarifa ya habari kwamba huko morogoro kampuni hiyo imezindua hivi na vile. Alikuwepo mpaka Diwani wa eneo hilo. Hawakuipromote kama ilivo kalynda. Ila iliruka kwenye taarifa yao ya habari. Nikipata muda nitaweka clipSidhani kama ITV waliitangaza LBL ila Kalyanda na Vanila Village walizitangaza sana.
Kommando muuza madafu nimepata hii simeshindwa kukumbuka ni tarehe gani tungeweka direct link kabisa .LBL walirusha kama taarifa ya habari kwamba huko morogoro kampuni hiyo imezindua hivi na vile. Alikuwepo mpaka Diwani wa eneo hilo. Hawakuipromote kama ilivo kalynda. Ila iliruka kwenye taarifa yao ya habari. Nikipata muda nitaweka clip