Kipenseli
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 825
- 1,074
Hello Wana JF! Mziwanda wenu hapa Kipenseli kama Mtanzania wa Mwisho Kabisa hapa ulimwenguni
Sina jambo kubwaaaaa ila kuna kijijambo tu fulani nataka tushirikishane kwenye majibu
Wanesemaga Mficha Uchi Hazai ila mimi mbona sijawahi kuwaona ambao wanaziacha acha tu na daily tu watu wanatoa copy nowday naitwa uncle hadi babu[emoji15].
Ndo sijawahigi kuona Mrisho Mpoto kavaa viatu japo vitu vingine anavaa[emoji20]
Mpaka sasa nimepitia site nyingi za "ponografia" sijawahi kuona site "ofisho" ya kibongo nimuone angalau hamo wappa na lili divan[emoji120]
Mmasai kijeba aliye mweupe kama "Kalinyos" sijawahi kumuona yaani nachanganyikiwa mwenzenu.
Lami kama Lami naona zenye rangi nyeusi tu mpaka nazeeka asaivi au nimchague mzee wa "ubwabwa " kwenye jenero eleksheni huenda nikaziona[emoji24].
Tangu naanza kuangalia mpira wa kibongo sijawahi kuona mchezaji kavunjika kwa rafu mbaya aliyochezewa au wazungu walaini nini kama bunda la mpapai[emoji27]
Nikiona singeri ya kizungu nahisi hivyo vya juu nitaviona.
Rapa kutoka Zenji hakunaga au mshawahi kuwaona[emoji29].
We kipi hujawahi kukiona??