Justin Dimee
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,146
- 248
- Thread starter
-
- #21
Achana nao hao pasua kichwa sana we Ukiwa na hamu tafuta dem wa kununua unapiga kila mmoja kivyake au Sabuni sio mbaya mara moja moja.
Hayo ndo maisha sasa!stress free..
I wish ningekuwa kama wewe may be ningejenga, mkuu baki huko huko upande huu unamizinga balaa.
Mshukuru huyo mwanamke maana najua kakufukia chini ya bahari hadi atakaporudi..!!
duh, baolojia yako inanyanyuka?
Kaa hivyo hivyo utakuwa umejiepusha na hatari kibao
Kweli kaa hivyo hivyo. Hao hawafai
Tangia tuachane na niliye kuwa nae awali sijisiki kumpenda mrembo yeyote. Naomba mnishauri nifanyeje? Ni heri niendelee hivi hivi kuwa mpweke au nijilazimishe kupenda? Sina mda tena na wasichana na sijisikii kupenda sababu nahisi hisia zimepotea gafla. Sijui ndio kusema kaondoka nazo huyu niliye mwacha?
dah! Unajua utam wa ile mambo ukiniambie niache nitachanganyikiwa!haina shda co lazma kuwa na mpenz naweza kuwa ivi ivi 2.
Ikiwa Biology yako imekaa vyema, na hupati hamu ya Mwanamke , hapo kuna tatizo.
Wahi kwa wataalamu mapema, yawezekana una problem ya Medulla echoysteyptisms!
kuoa au kuolewa sometime ni karaha sana hasa pale mnapokutana na mtu ambaye si mwaminifu inatia machungu sana
kaka umeacha au umeachwa?
kweli yan hisia zimeyeyuka gafla 2 yan mtu tuna pendana tunafanya kila kitu alafu gafla bini vuu mtu unasema tuachane hata bila kosa mmh hawa mademu bna.