Mbona sina hamu yakupenda au kuwa na mpenzi?

Mbona sina hamu yakupenda au kuwa na mpenzi?

Achana nao hao pasua kichwa sana we Ukiwa na hamu tafuta dem wa kununua unapiga kila mmoja kivyake au Sabuni sio mbaya mara moja moja.

mmh huko unapo ni shaur hata c patak kote kuna madhara
mi ntakuwa 2 na piga zoezi kwa sana na kujituliza tu au vp?
 
I wish ningekuwa kama wewe may be ningejenga, mkuu baki huko huko upande huu unamizinga balaa.
Mshukuru huyo mwanamke maana najua kakufukia chini ya bahari hadi atakaporudi..!!
 
I wish ningekuwa kama wewe may be ningejenga, mkuu baki huko huko upande huu unamizinga balaa.
Mshukuru huyo mwanamke maana najua kakufukia chini ya bahari hadi atakaporudi..!!

pouwa mwana.
 
Ikiwa Biology yako imekaa vyema, na hupati hamu ya Mwanamke , hapo kuna tatizo.
Wahi kwa wataalamu mapema, yawezekana una problem ya Medulla echoysteyptisms!
 
Tangia tuachane na niliye kuwa nae awali sijisiki kumpenda mrembo yeyote. Naomba mnishauri nifanyeje? Ni heri niendelee hivi hivi kuwa mpweke au nijilazimishe kupenda? Sina mda tena na wasichana na sijisikii kupenda sababu nahisi hisia zimepotea gafla. Sijui ndio kusema kaondoka nazo huyu niliye mwacha?

...usijilazimishe kupenda bana!!! utakuwa humtendei haki huyo mhusika...subiri mpaka pale moyo wako utakapofunguka na kumpenda huyo muhusika kwa upendo wa kweli na si wa kulazimisha...vinginevyo utaishia kumtenda.

Last edited by a moderator:
Ikiwa Biology yako imekaa vyema, na hupati hamu ya Mwanamke , hapo kuna tatizo.
Wahi kwa wataalamu mapema, yawezekana una problem ya Medulla echoysteyptisms!

wapi hakuna kitu kama icho co lazma kupenda au kufanya mapenz just uamuzi tu kama miezi 6 ivi ndo naweza nikarudi katka mudi yangu so nikawaida 2 hakuna kibiologcaly wala nini just normal 2.
 
kuoa au kuolewa sometime ni karaha sana hasa pale mnapokutana na mtu ambaye si mwaminifu inatia machungu sana
 
ucjilazimishe kupenda, tulia mpk pale moyo wako utakapokuruhusu
:clap2:
 
Hivi wanwake wote hawa duniani hakuna uliye penda, isije kuwa una matatizo na hujifahamu.
 
kuna msemo nimeusikia watu wanasema , UKUPIGAO NDIO UKUFUNZAO'' sio ww tu .alietendwa yyte na akajua maumivu ,yaan huna hamu ya kujitia jiti la roho bure ,tulia ,, iko siku utapata
 
Pouwa pouwa na 2lia tu kwanza natakiwa kuchek life laendaje and then ndo niwe free so nifanye vzr kilife and then ntajua where can l get de love.
 
Back
Top Bottom