Tangia tuachane na niliye kuwa nae awali sijisiki kumpenda mrembo yeyote. Naomba mnishauri nifanyeje? Ni heri niendelee hivi hivi kuwa mpweke au nijilazimishe kupenda? Sina mda tena na wasichana na sijisikii kupenda sababu nahisi hisia zimepotea gafla. Sijui ndio kusema kaondoka nazo huyu niliye mwacha?
Pouwa pouwa na 2lia tu kwanza natakiwa kuchek life laendaje and then ndo niwe free so nifanye vzr kilife and then ntajua where can l get de love.
Uandishi wako tu.....I wish ningekusikia wakati unatamka haya maneno!!
upoje mbaya au mzur haah.
kua mpole tu ..hamu itakuja.ukiforce utaangukia pua