Mbona sina hamu yakupenda au kuwa na mpenzi?

Mbona sina hamu yakupenda au kuwa na mpenzi?

Tangia tuachane na niliye kuwa nae awali sijisiki kumpenda mrembo yeyote. Naomba mnishauri nifanyeje? Ni heri niendelee hivi hivi kuwa mpweke au nijilazimishe kupenda? Sina mda tena na wasichana na sijisikii kupenda sababu nahisi hisia zimepotea gafla. Sijui ndio kusema kaondoka nazo huyu niliye mwacha?

mtafute yule yule inawzkana kaondka na hisia zako.
 
Pouwa pouwa na 2lia tu kwanza natakiwa kuchek life laendaje and then ndo niwe free so nifanye vzr kilife and then ntajua where can l get de love.

Uandishi wako tu.....I wish ningekusikia wakati unatamka haya maneno!!
 
Mi na kuwa mpole tu najua nitapata tena penzi lile la dhat subira nayo huvuta heri au vp wala cna pupa na mapenz mimi.
 
Back
Top Bottom