LoyalTzCitizen
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,241
- 940
Kila wakifikiria hayo maumivu yanayokuja basi wanachanganyikiwa!:A S angry:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tokea jana kila nikipita mjini watu wapo busy na shughuli zao na mji upo kimya kama vile leo hakuna tukio muhimu la kuapishwa Rais wao kipenzi aliepita kwa kura za kishindo/tsunami. Watu wengine wakiwa kwenye daladala ndo wanashangaa wanaposikia radio ikitangaza.
Kila wakifikiria hayo maumivu yanayokuja basi wanachanganyikiwa!:A S angry:
Watanzania si majuha tena kusherehekea mauti yao. Huu ni ushahidi kuwa Kikwete kachaguliwa na wachakachuaji na mafisadi wenzake wakiongozwa na NEC. Tangu mwanzo hakuwa kipenzi cha Mungu bali kipenzi cha mafisadi waliomwingiza madarakani. Ila kuna siku ukweli utafichuka na ataaibika. Maana historia haiandikwi upya.:llama::llama::llama::llama: