R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Aug 1, 2023 #1 Kulikoni hakuna ushabiki wowote kenye hili dimba la wanawake, sababu? Naangalia hapa wasichana wanachea mpira safi kabisa, nadhani vitimu vyetu vya Taifa wanaweza kuvifunga magoli mengi tu hasa vya Africa.
Kulikoni hakuna ushabiki wowote kenye hili dimba la wanawake, sababu? Naangalia hapa wasichana wanachea mpira safi kabisa, nadhani vitimu vyetu vya Taifa wanaweza kuvifunga magoli mengi tu hasa vya Africa.
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 4,260 Reaction score 7,033 Aug 1, 2023 #2 Hamuupendi mpira kiujumla, mbna mtaa wangu tunaelewa kila kinachoendelea.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 76,039 Reaction score 230,142 Aug 1, 2023 #3 Raha ya mpira wanaume wacheze
MUSHEKY JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 2,812 Reaction score 2,760 Aug 2, 2023 #4 Waache wakinamama wapikie waume zao hayo sio mambo yao ni ushetani tu na uasherati unawaingiza kwenye boli Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Waache wakinamama wapikie waume zao hayo sio mambo yao ni ushetani tu na uasherati unawaingiza kwenye boli Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 11,131 Reaction score 9,301 Aug 2, 2023 #5 Wapishi na wakata mauno na mpira wapi na wapi.