Mbona sisikii shamra shamra za Women's World Cup mtaani kwangu na Tanzania nzima kwa ujumla?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kulikoni hakuna ushabiki wowote kenye hili dimba la wanawake, sababu?

Naangalia hapa wasichana wanachea mpira safi kabisa, nadhani vitimu vyetu vya Taifa wanaweza kuvifunga magoli mengi tu hasa vya Africa.
 
Hamuupendi mpira kiujumla, mbna mtaa wangu tunaelewa kila kinachoendelea.
 
Waache wakinamama wapikie waume zao hayo sio mambo yao ni ushetani tu na uasherati unawaingiza kwenye boli

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…