Mbona suala la katiba mpya linakuwa kizungumkuti?

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya.

Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu sisi wananchi tunataka Katiba Mpya iwe Jua au mvua tunataka Katiba Mpya.

Woga wa nini kuhusu Katiba Mpya?
 
Hawalitaki sabu lina haribu na kufinya loopholes za watu wapiga madili...
 
Tupitishe katiba ili ije itubane wenyew? Pia ituweke mashakani kwenye uchaguz? Ndio maana hatutaki katiba mpya tunaipiga danadana tu
 
Tupitishe katiba ili ije itubane wenyew? Pia ituweke mashakani kwenye uchaguz? Ndio maana hatutaki katiba mpya tunaipiga danadana tu
MaCCM mabinafsi sana. Ndiyo maana nchi haitakuja endelea chini ya utawala wao. Waende tu hapo Chato wajionee ni jinsi gani mali zinayoharibika ukiondoka zako ..... Hotel ya 4 Star sasa wanaoga maji kwenye ndoo!!
 
Aisee 🤔
 
Hata mwaka wa utoaji elimu haujisha na suala la utoaji wa elimu ni miaka mi3 ebu kuwa na subira.

Au hujui katiba mpya ni msumali wa moto kwa chama cha mafisadi.
 
Umejuaje hiyo asilimia ya Watanzania kama siyo kubwabwaja tu. Jisemee wewe ikiwezekana na familia yako tu.
 
MaCCM mabinafsi sana. Ndiyo maana nchi haitakuja endelea chini ya utawala wao. Waende tu hapo Chato wajionee ni jinsi gani mali zinayoharibika ukiondoka zako ..... Hotel ya 4 Star sasa wanaoga maji kwenye ndoo!!
Siyo wote
 
"The right cannot be given as a gift by the oppressor, it must be demanded by the oppressed."
Martin Luther King Jr.
 
Katiba mpya ni muhimu kwa kipindi hiki cha sasa
 
CCM HAITAKI KATIBA MPYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…