johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Najiuliza tu.
Maana kwanza alikamatwa Dr Kigwangalla akigawa baiskeli lakini akajitetea na kutoa vifungu vya sheria vinavyomlinda.
Kisha akakamatwa Kibajaji bado sijajua imeishaje lakini leo kakamatwa Serukamba.
Ndiposa najiuliza hiyo rushwa inatolewa huko chama tawala pekee?
Au CHADEMA bado wako kwenye uchumi mdogo?
Maendeleo hayana vyama!