Ndiko rushwa ilipoanzia na ndipo ilipo tangu uhuru, CDM safiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!Najiuliza tu.
Maana kwanza alikamatwa Dr Kigwangalla akigawa baiskeli lakini akajitetea na kutoa vifungu vya sheria vinavyomlinda.
Kisha akakamatwa Kibajaji bado sijajua imeishaje lakini leo kakamatwa Serukamba.
Ndiposa najiuliza hiyo rushwa inatolewa huko chama tawala pekee?
Au CHADEMA bado wako kwenye uchumi mdogo?
Maendeleo hayana vyama!
Najiuliza tu.

Msidanganyike, hii ni danganya toto ionekane CCM "wameshughulikiwa" kumbe hamna lolote.Huku Serukamba, kule Lusinde. Ukienda Manyovu Takukuru wana MTU washakula naye sahani moja.
Shinyanga watu wamekamatwa wakigawa kanga kufukuzia ubunge.
Yaani tuhuma nchi nzima, watu wa CCM wameshaanza kupikiwa ubwabwa ili wachague walio nunua huo ubwabwa.
Hii inaonyesha picha gani kuhusu CCM? Kwamba bila rushwa mambo yao hayaendi? Au na zile atowazo Rais Magufuli barabarani nazo ni rushwa? Jee na zile makanisani sijui kufadhili kwaya, kumalizia ujenzi nk hivi nazo sio Rushwa?
Hiki chama kingefungiwa walao kwa miaka miwili tuu kingerudi kuwa chama cha siasa tofauti na sasa kimekuwa genge la wahuni na matapeli watupu.
Siku TAKUKURU wakimkamata Kamanda kwa rushwa hakika nchi itasimama waonekane wamefanya kazi nzuri,hata wao wanatamani ingekuwa hivyo maana wangepandishwa vyeo the same day.CDM kwa bahati waliyonayo,wanao wanachama safi,wasiojihusisha na rushwa kwa sababu wanauwezo wa kushawishi kura kwa sera ni watu wanaojitambua.Najiuliza tu.
Maana kwanza alikamatwa Dr Kigwangalla akigawa baiskeli lakini akajitetea na kutoa vifungu vya sheria vinavyomlinda.
Kisha akakamatwa Kibajaji bado sijajua imeishaje lakini leo kakamatwa Serukamba.
Ndiposa najiuliza hiyo rushwa inatolewa huko chama tawala pekee?
Au CHADEMA bado wako kwenye uchumi mdogo?
Maendeleo hayana vyama!
Mzizi wa yote ni rushwa inayotolewa kwa wawakilishi wetu pale mjengoni,mishahara na marupurupu ya kutosha,halafu unamalizia miaka mitano na gratitude ya over 200 millions Tshs in cash instantly on last day of the fifth year.Ndiyo maana wapo tayari kwa lolote na kwa njia hata zile zisizo halali kuupata ubunge,watu wanaachia ofisi za umma zinazohitaji visomo vyao na kwenda kusema ndiyooo huku wakiishi kifalme,wanajipangia mishahara na posho nono na kusahau vipaumbele vya Watanzania.Huku Serukamba, kule Lusinde. Ukienda Manyovu Takukuru wana MTU washakula naye sahani moja.
Shinyanga watu wamekamatwa wakigawa kanga kufukuzia ubunge.
Yaani tuhuma nchi nzima, watu wa CCM wameshaanza kupikiwa ubwabwa ili wachague walio nunua huo ubwabwa.
Hii inaonyesha picha gani kuhusu CCM? Kwamba bila rushwa mambo yao hayaendi? Au na zile atowazo Rais Magufuli barabarani nazo ni rushwa? Jee na zile makanisani sijui kufadhili kwaya, kumalizia ujenzi nk hivi nazo sio Rushwa?
Hiki chama kingefungiwa walao kwa miaka miwili tuu kingerudi kuwa chama cha siasa tofauti na sasa kimekuwa genge la wahuni na matapeli watupu.
Najiuliza tu.
Maana kwanza alikamatwa Dr Kigwangalla akigawa baiskeli lakini akajitetea na kutoa vifungu vya sheria vinavyomlinda.
Kisha akakamatwa Kibajaji bado sijajua imeishaje lakini leo kakamatwa Serukamba.
Ndiposa najiuliza hiyo rushwa inatolewa huko chama tawala pekee?
Au CHADEMA bado wako kwenye uchumi mdogo?
Maendeleo hayana vyama!
Kigezo kitakachotumika kuwakata wagombea ni rushwa!tuhuma tu zinatosha!!Ndio mpango kazi wa jpm kuwaengua wagombea na kuwaweka wapya wa mfukoni!!
Mzizi wa yote ni rushwa inayotolewa kwa wawakilishi wetu pale mjengoni,mishahara na marupurupu ya kutosha,halafu unamalizia miaka mitano na gratitude ya over 200 millions Tshs in cash instantly on last day of the fifth year.Ndiyo maana wapo tayari kwa lolote na kwa njia hata zile zisizo halali kuupata ubunge,watu wanaachia ofisi za umma zinazohitaji visomo vyao na kwenda kusema ndiyooo huku wakiishi kifalme,wanajipangia mishahara na posho nono na kusahau vipaumbele vya Watanzania.
Tunahitaji mabadiliko,tuseme inatosha kwa ukosefu wa umoja,mshikamano,usalama,uhuru wa maoni na kutofautiana kwa hoja bila kugombana.Sisi sote,bila kujali itikadi zetu ndiyo Watanzania,tunajenga nyumba moja,ya nini tugombee fito?Kila mmoja wetu ni potential,msijimilikishe ujenzi wa Taifa.Uongozi siyo Utawala bali Utumishi wa Wito.Hakuna aliye bora kuliko mwingine,usawa wa binadamu na haki za binadamu ni msingi wa UTU.
Critical Analysis !Kigezo kitakachotumika kuwakata wagombea ni rushwa!tuhuma tu zinatosha!!Ndio mpango kazi wa jpm kuwaengua wagombea na kuwaweka wapya wa mfukoni!!
UsaniiNajiuliza tu.
Maana kwanza alikamatwa Dr Kigwangalla akigawa baiskeli lakini akajitetea na kutoa vifungu vya sheria vinavyomlinda.
Kisha akakamatwa Kibajaji bado sijajua imeishaje lakini leo kakamatwa Serukamba.
Ndiposa najiuliza hiyo rushwa inatolewa huko chama tawala pekee?
Au CHADEMA bado wako kwenye uchumi mdogo?
Maendeleo hayana vyama!
Kwani akimatwa A ni lazima pia akamatwe B hadi Z au wanakata pale wanapohisi kuna uhalifu umefanyika na kwamba kuwakamata hao siyo kwamba ndiyo mwisho wa kazi yao?Najiuliza tu.