Mbona tamisemi awatowi tamko kwa walimu waliokosa ajira

jaman chekin TBC sa 1 kasoro asubuh KESHO tujue hatma ya post zetu.
LIVE CHECK UCPENDE KUADISIWA
 
jaman chekin TBC sa 1 kasoro asubuh tujue hatma ya post zetu.
LIVE CHECK UCPENDE KUADISIWA

Mkuu wengine tupo mbali na tv simu ndo source of information tafadhari kama utacheck tunaomba update
 
amesema wale ambao mnasubiri kibali kilitoka kwawale wa mwanzo ila alipeleka kibali kwa wali waliokosa na watajiriwa mwisho wa mwezi huu...kwa yule jamaa LOOK endeleeni kumpuuza
 
Hilo tamko ulilisikia kwa masikio yako kutoka kwake au na wewe umeambiwa na mtu.??? Nitawajuza kitakacho jiri soon kuhusu awamu ya pili.

ofcourse,but you have to find out the truth if you can.
 
amesema wale ambao mnasubiri kibali kilitoka kwawale wa mwanzo ila alipeleka kibali kwa wali waliokosa na watajiriwa mwisho wa mwezi huu...kwa yule jamaa LOOK endeleeni kumpuuza

Mkuu jaribu kuyaweka vizuri maelezo yako una habari mzuri ila aujaipanga fresh.
 
Safety last na mwenzio KICHEDE22 ni waongo sana msidanganye wenzenu hilo tamko limetolewa na nani na lini?mimi hata mkinupuuza maelezo yangu huwa yanajidhihirisha sasa sijui wewe na huyo mwenzio anae dai anaongea na wakubwa wanampa data halafu data zenyewe zakudanganya walimu.
Mnaleta uongo wenu halafu mnapotea.kazi kweli kweli.
 
Hahahahaha!dah!ni shida,sasa nani anaweza kuthibitishia ukweli wa hilo jambo?
 
Mkuu jaribu kuyaweka vizuri maelezo yako una habari mzuri ila aujaipanga fresh.

leo asubuhi TBC alikuwepo kasimu majaliwa na waziri kivuli suzani lyimo swali la mwisho kutoka kw mwandishi wa TBC ni kuna waalim hawajariwa na maombi yao yallitumwa naibu waziri akasema kibali cha kuwaajiri kimeshatoka mtaajiriwa, mwisho wa mwezi majina yatatoka ..kiufupi MTAAJIRIWA.achaneni na porojo za wakatisha tamaa.
 
Mkuu apo nimekuelewa isitoshe iyo habari imetolewa na naibu waziri nafikiri hapa kuna matumaini kidogo kuwa ajira ipo asante mkuu kwa taarifa.
 
Safety last na mwenzio KICHEDE22 ni waongo sana msidanganye wenzenu hilo tamko limetolewa na nani na lini?mimi hata mkinupuuza maelezo yangu huwa yanajidhihirisha sasa sijui wewe na huyo mwenzio anae dai anaongea na wakubwa wanampa data halafu data zenyewe zakudanganya walimu.
Mnaleta uongo wenu halafu mnapotea.kazi kweli kweli.

wewe unajiita lLook umekuwa ukiwakatisha tamaa hawa waalim ambao hawajapangiwa Leo asubuhi alilikuwepo Naibu waziri TBC one kasimu maajaliwa akiwa na waziri kivuli wa upinzani suzani lyimo,kabla waziri upinzani hajauliza swali mwandishi alimuuliza naibu mbona kuna waalim mtaani hamjawaajiri akasema ni kweli walikuwa wanasubiri kibali cha kuwaajiri na kibali kiko tayari majina yatatoka...waalim mliopo mitaani kauli ya waziri ndio kauli ya serikali porojo ziishe mmelalamika sana
 
Mkuu; look labda nikuulize swali ivi iyo asubuhi ulisikiliza ayo maojiano ya naibu waziri TBC1 or
 
Mkuu apo nimekuelewa isitoshe iyo habari imetolewa na naibu waziri nafikiri hapa kuna matumaini kidogo kuwa ajira ipo asante mkuu kwa taarifa.

pamoja mwalimu jioni usikilize bajeti ya wizara ya elimu
 
wewe unajiita lLook umekuwa ukiwakatisha tamaa hawa waalim ambao hawajapangiwa Leo asubuhi alilikuwepo Naibu waziri TBC one kasimu maajaliwa akiwa na waziri kivuli wa upinzani suzani lyimo,kabla waziri upinzani hajauliza swali mwandishi alimuuliza naibu mbona kuna waalim mtaani hamjawaajiri akasema ni kweli walikuwa wanasubiri kibali cha kuwaajiri na kibali kiko tayari majina yatatoka...waalim mliopo mitaani kauli ya waziri ndio kauli ya serikali porojo ziishe mmelalamika sana

Ni kweli,hiyo kauili ilitolewa na huyo mheshimiwa labda ikitokea kawaida ya uongo wa viongozi wa tz,kitu kipo ila mpaka utekelezaji wake ufikiwe inachukua muda sana.
 
Afu nlichokigundua humu ndani kuna watu wanye matatizo huwa wanatafuta ufumbuzi wa matatizo yao kwa kutoa kauli hasi ili yeye aweze kupata ukweli wa jambo lenyewe kutoka kwa wenzao,ila tunawashukuru kwa kuwa mnatupa changamoto za sisi kuhangaika na kutafuta ukweli
 
wewe unajiita lLook umekuwa ukiwakatisha tamaa hawa waalim ambao hawajapangiwa Leo asubuhi alilikuwepo Naibu waziri TBC one kasimu maajaliwa akiwa na waziri kivuli wa upinzani suzani lyimo,kabla waziri upinzani hajauliza swali mwandishi alimuuliza naibu mbona kuna waalim mtaani hamjawaajiri akasema ni kweli walikuwa wanasubiri kibali cha kuwaajiri na kibali kiko tayari majina yatatoka...waalim mliopo mitaani kauli ya waziri ndio kauli ya serikali porojo ziishe mmelalamika sana

unajua kila mtu ana matatizo yake,labda na yeye anahitaji msaada,kwahyo munuelewe tu huyo mwenzetu.
 
wewe unajiita lLook umekuwa ukiwakatisha tamaa hawa waalim ambao hawajapangiwa Leo asubuhi alilikuwepo Naibu waziri TBC one kasimu maajaliwa akiwa na waziri kivuli wa upinzani suzani lyimo,kabla waziri upinzani hajauliza swali mwandishi alimuuliza naibu mbona kuna waalim mtaani hamjawaajiri akasema ni kweli walikuwa wanasubiri kibali cha kuwaajiri na kibali kiko tayari majina yatatoka...waalim mliopo mitaani kauli ya waziri ndio kauli ya serikali porojo ziishe mmelalamika sana
Siwakatishi tamaa walimu na nina wapenda sana sababu ndio kazi niliyo anza nayo kabla sijafika hapa nilipo, lakini tatizo walimu wanapenda kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli,. Nakumbuka kabla hata awamu yakwanza haijatoka nliwahi kuwaeleza hapa walimu walio aminishwa kuwa wangeajiriwa kabla ya mwezi february nika kanusha habari hizo na kuwaambia ajira zaweza kuwa mwezi ya nne, nakumbuka nlitukanwa sana humu lakini hatimaye ikawa sasa na hili nalo endeleen kusubiri, lakini soon nitawapa factual iformation kuhusiana na madai yenu msijali na nitakacho waambia kisipo kuwa niponradhi nipigwe life burn.
 
Mkuu,hatukatai mawazo ya kila mmoja wetu humu ndani ila tatizo lako wewe huna busara katika kuwasilisha hoja zako ndio maana hatukuelewi hatakama hoja zako niza msingi na za kweli,
Kweli sisi ni wahanga kweli,unapo tuelea jambo tumia hekma na busara kulieleza laa sivyo utadokolewa kila mara
 
Siwakatishi tamaa walimu na nina wapenda sana sababu ndio kazi niliyo anza nayo kabla sijafika hapa nilipo, lakini tatizo walimu wanapenda kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli,. Nakumbuka kabla hata awamu yakwanza haijatoka nliwahi kuwaeleza hapa walimu walio aminishwa kuwa wangeajiriwa kabla ya mwezi february nika kanusha habari hizo na kuwaambia ajira zaweza kuwa mwezi ya nne, nakumbuka nlitukanwa sana humu lakini hatimaye ikawa sasa na hili nalo endeleen kusubiri, lakini soon nitawapa factual iformation kuhusiana na madai yenu msijali na nitakacho waambia kisipo kuwa niponradhi nipigwe life burn.

Wewe Look; bora ukaushe tu kama auna hoja so unakuwa unakatisha watu tamaa ndomana before nilikuuliza unaongea kama nani umekuwa wa kwanza humu jukwaa la elimu kuwa amna ajira second selection kanusha na leo sasa source umepewa TBC1 ndomana wa tz atuendelei kwasababu yakukatishana tamaa maisha ayaendi ivyo so kwakuwa wewe upo inservice ndo uwabeze wenzio kitaa kugumu isitoshe uwezikujiajiri kama auna mtaji naongea kwa uchungu coz nimesoma kwenye mazingira magumu alafu tumekula boom la serikali inauma sana ndugu usiwe na kauli za aina iyo mkuu apa duniani tunapita tu.
 
Back
Top Bottom