jaman chekin TBC sa 1 kasoro asubuh tujue hatma ya post zetu.
LIVE CHECK UCPENDE KUADISIWA

Mkuu wengine tupo mbali na tv simu ndo source of information tafadhari kama utacheck tunaomba update
Hilo tamko ulilisikia kwa masikio yako kutoka kwake au na wewe umeambiwa na mtu.??? Nitawajuza kitakacho jiri soon kuhusu awamu ya pili.
amesema wale ambao mnasubiri kibali kilitoka kwawale wa mwanzo ila alipeleka kibali kwa wali waliokosa na watajiriwa mwisho wa mwezi huu...kwa yule jamaa LOOK endeleeni kumpuuza
Safety last na mwenzio KICHEDE22 ni waongo sana msidanganye wenzenu hilo tamko limetolewa na nani na lini?mimi hata mkinupuuza maelezo yangu huwa yanajidhihirisha sasa sijui wewe na huyo mwenzio anae dai anaongea na wakubwa wanampa data halafu data zenyewe zakudanganya walimu.amesema wale ambao mnasubiri kibali kilitoka kwawale wa mwanzo ila alipeleka kibali kwa wali waliokosa na watajiriwa mwisho wa mwezi huu...kwa yule jamaa LOOK endeleeni kumpuuza
Safety last na mwenzio KICHEDE22 ni waongo sana msidanganye wenzenu hilo tamko limetolewa na nani na lini?mimi hata mkinupuuza maelezo yangu huwa yanajidhihirisha sasa sijui wewe na huyo mwenzio anae dai anaongea na wakubwa wanampa data halafu data zenyewe zakudanganya walimu.
Mnaleta uongo wenu halafu mnapotea.kazi kweli kweli.
Mkuu jaribu kuyaweka vizuri maelezo yako una habari mzuri ila aujaipanga fresh.
leo asubuhi TBC alikuwepo kasimu majaliwa na waziri kivuli suzani lyimo swali la mwisho kutoka kw mwandishi wa TBC ni kuna waalim hawajariwa na maombi yao yallitumwa naibu waziri akasema kibali cha kuwaajiri kimeshatoka mtaajiriwa, mwisho wa mwezi majina yatatoka ..kiufupi MTAAJIRIWA.achaneni na porojo za wakatisha tamaa.
Safety last na mwenzio KICHEDE22 ni waongo sana msidanganye wenzenu hilo tamko limetolewa na nani na lini?mimi hata mkinupuuza maelezo yangu huwa yanajidhihirisha sasa sijui wewe na huyo mwenzio anae dai anaongea na wakubwa wanampa data halafu data zenyewe zakudanganya walimu.
Mnaleta uongo wenu halafu mnapotea.kazi kweli kweli.
Safety last na mwenzio KICHEDE22 ni waongo sana msidanganye wenzenu hilo tamko limetolewa na nani na lini?mimi hata mkinupuuza maelezo yangu huwa yanajidhihirisha sasa sijui wewe na huyo mwenzio anae dai anaongea na wakubwa wanampa data halafu data zenyewe zakudanganya walimu.
Mnaleta uongo wenu halafu mnapotea.kazi kweli kweli.
Mkuu apo nimekuelewa isitoshe iyo habari imetolewa na naibu waziri nafikiri hapa kuna matumaini kidogo kuwa ajira ipo asante mkuu kwa taarifa.
wewe unajiita lLook umekuwa ukiwakatisha tamaa hawa waalim ambao hawajapangiwa Leo asubuhi alilikuwepo Naibu waziri TBC one kasimu maajaliwa akiwa na waziri kivuli wa upinzani suzani lyimo,kabla waziri upinzani hajauliza swali mwandishi alimuuliza naibu mbona kuna waalim mtaani hamjawaajiri akasema ni kweli walikuwa wanasubiri kibali cha kuwaajiri na kibali kiko tayari majina yatatoka...waalim mliopo mitaani kauli ya waziri ndio kauli ya serikali porojo ziishe mmelalamika sana

Siwakatishi tamaa walimu na nina wapenda sana sababu ndio kazi niliyo anza nayo kabla sijafika hapa nilipo, lakini tatizo walimu wanapenda kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli,. Nakumbuka kabla hata awamu yakwanza haijatoka nliwahi kuwaeleza hapa walimu walio aminishwa kuwa wangeajiriwa kabla ya mwezi february nika kanusha habari hizo na kuwaambia ajira zaweza kuwa mwezi ya nne, nakumbuka nlitukanwa sana humu lakini hatimaye ikawa sasa na hili nalo endeleen kusubiri, lakini soon nitawapa factual iformation kuhusiana na madai yenu msijali na nitakacho waambia kisipo kuwa niponradhi nipigwe life burn.wewe unajiita lLook umekuwa ukiwakatisha tamaa hawa waalim ambao hawajapangiwa Leo asubuhi alilikuwepo Naibu waziri TBC one kasimu maajaliwa akiwa na waziri kivuli wa upinzani suzani lyimo,kabla waziri upinzani hajauliza swali mwandishi alimuuliza naibu mbona kuna waalim mtaani hamjawaajiri akasema ni kweli walikuwa wanasubiri kibali cha kuwaajiri na kibali kiko tayari majina yatatoka...waalim mliopo mitaani kauli ya waziri ndio kauli ya serikali porojo ziishe mmelalamika sana
Siwakatishi tamaa walimu na nina wapenda sana sababu ndio kazi niliyo anza nayo kabla sijafika hapa nilipo, lakini tatizo walimu wanapenda kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli,. Nakumbuka kabla hata awamu yakwanza haijatoka nliwahi kuwaeleza hapa walimu walio aminishwa kuwa wangeajiriwa kabla ya mwezi february nika kanusha habari hizo na kuwaambia ajira zaweza kuwa mwezi ya nne, nakumbuka nlitukanwa sana humu lakini hatimaye ikawa sasa na hili nalo endeleen kusubiri, lakini soon nitawapa factual iformation kuhusiana na madai yenu msijali na nitakacho waambia kisipo kuwa niponradhi nipigwe life burn.