SoC02 Mbona tunazidi kuangamia kwa magonjwa yasiyoambukiza(non-communicable diseases)

Stories of Change - 2022 Competition

Rain brainy

Member
Joined
Aug 11, 2022
Posts
5
Reaction score
4
MAGONJWA YASIYO AMBUKIZA

Ni aina ya magonjwa ambayo hayawezi kusambaa kutoka Kwa mtu moja kwenda kwa mwingine.
Mfano; magonjwa ya moto, saratani(cancer), Pumu, kisukari n.k
Ni kweli tafiti nyingi zimefanywa na kugundua kunabaadh ya haya magonjwa yanakuwa ya kurithi, pia kunasababu ambazo hupelekea kutokea kwahaya magonjwa ambazo;
-maisha tunayo ishi(life style choices).
-mazingira tunayoishi.


Maisha tunayo ishi(life style choices)
-
Watu wengi tunaishi Kwa Kula vyakula visivyokuwa na lishe bora mfano unakula vyakula vya mafuta tu kila siku inaweza kupelekea kupata magonjwa ya moyo. Watu tunapenda maisha ya Kula bagger au chipsi kila siku unafikiri utaweza epuka kupata magonjwa yasiyo ambukiza?
-pia watu wengi Sana tumekuwa wavivu kufanya mazoezi unashauriwa hata Kwa wiki fanya mazoezi wala siku tatu Kwa muda wa nusu saa. Mazoezi yanasaidia San katika kupunguza kupata hatari ya magonjwa yasiyo ambukiza.


Mazingira tunayoishi.
-Hapa kwenye mazingira tunayoishi tunaangaria wale watu waliotuzunguka mfano kweny maeneo ambayo kuna uchafuzi Sana wa mazingira haijalishi ardhini au hewani hasa kwenye hewa unakujakupata wale watu wanao vuta sigara(smokers) NI rahisi Sana kupata saratani ya mapafu na hii inaweza tokea hata kwawale wasiovuta pia lakini wanapata moshi unaotoleawa na wavuta sigara.

Haya magonjwa yana madhara makubwa Sana
-Matatizo ya kimwili.
Yaani hapa mtu unapata maumivu ya mwili,kuchoka Sana,baadhi ya viungo vya mwili kushindwa kufanya kazi ipasavyo, unaweza ukapata palaysis kabsa.
-Matatizo ya kihisia(emotional problems)
Mtu ambaye atakuwa na haya magonjwa ata weza kupata matatizo ya kihisia kama msongo wamawzo ambayo, itaenda kuathiri mfumo mzima mwili pia na kupelekea utendaji kazi katika shughuli mbali mbali za kiuzarishaji kuweza kupungua. pia mtu anaweza kufikili hakuna natumaini ya yeye kuishi tena.
-pia inaathiri mfumo mzima WA kujiingizia kipato katika familia.(financial problems).
Hii inatokana na kushindwa kufanya shughuri za uzalishaji.


Vitu vinavyoweza pelekea kupata magonjwa yasiyo ya kuambukizwa(risk factors).
-Tabia.
- Mambo yanayopelekea kuwawa Kwa tatizo.
ukipunguza hizi risk factors unaweza ukapungua kupata hayamagonjwa au ukafanya ugonjwa usikuumize Sana.


Vitu vya kuzingatia ilikujinga au kujizuia yasikutafune sana haya magonjwa kama unayo.
-Fanya mazoezi Sana.
-Acha kuvuta sigara.
-Kula lishe bora zaidi.
-Epuka vitu vinavyokuletea alleji.
-Epuka Kula vyakula venye sukari Sana. n.k
Pia mwisho haya magonjwa ukipata kutibika ningumu sana na huwa yanaanza kidgokidgo kadri unavokuwa MTU mzima ndipo na ugonjwa unakuwa. Unashauriwa kujinga na kujizuia ugonjwa usiendelee kukuwa zaidi na zaidi mwisho kabsa. Unashauriwa kumuona daktari .Kwa maelezo zaidi.

Ahsante.
 
Upvote 0
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…