Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
- Thread starter
-
- #41
ukitaka kupata wateja sema "nyama yake inaongeza nguvu za kiume"Siku hizi watu tunafuga kunguru na bundi kwa kwenda mbele tu....kware wa nini?
ukitaka kupata wateja sema "nyama yake inaongeza nguvu za kiume"
ππππ ngoja tu nimalizie hii tumbaku nikukumbushe pia ufugaji wa sungura na faida za mkojo wa sungura bila kusahau kuchi wa shilingi laki tatu mmojaWakuu kama mtakumbuka kupitia jukwaa hili miaka miwili mitatu iliyopita tulihamasishana sana kuhusu ufugaji wa kware ili kunufaika na biaashara ya nyama na mayai. Tuliambiwa pia mayai ya kware yana afya kulinganisha na mayai ya kuku.
Ghafla, sioni tena ule ''moto'' wa ufugaji wa kware, nini kimesababisha? je, hakukufanyika utafiti? Je, ile afya au virutubisho kwenye mayai ya kware haikuwa kweli?
hatari sanaππππ ngoja tu nimalizie hii tumbaku nikukumbushe pia ufugaji wa sungura na faida za mkojo wa sungura bila kusahau kuchi wa shilingi laki tatu mmoja