Mbona ufugaji na biashara ya nyama na mayai ya kware umeyeyuka ghafla?

Mbona ufugaji na biashara ya nyama na mayai ya kware umeyeyuka ghafla?

ukitaka kupata wateja sema "nyama yake inaongeza nguvu za kiume"


Nilitajirika sana mwaka jana nilipokwenda Dar, wanaume wa kule niliwaambia mayai ya kunguru ukichanganya na mtindi yanarefusha dushe na kuongeza nguvu za kiume.
 
Wakuu kama mtakumbuka kupitia jukwaa hili miaka miwili mitatu iliyopita tulihamasishana sana kuhusu ufugaji wa kware ili kunufaika na biaashara ya nyama na mayai. Tuliambiwa pia mayai ya kware yana afya kulinganisha na mayai ya kuku.

Ghafla, sioni tena ule ''moto'' wa ufugaji wa kware, nini kimesababisha? je, hakukufanyika utafiti? Je, ile afya au virutubisho kwenye mayai ya kware haikuwa kweli?
😂😂😂😂 ngoja tu nimalizie hii tumbaku nikukumbushe pia ufugaji wa sungura na faida za mkojo wa sungura bila kusahau kuchi wa shilingi laki tatu mmoja
 
Back
Top Bottom