Mbona Uganda iliishambulia Tanzania badala ya Kenya?

Mbona Uganda iliishambulia Tanzania badala ya Kenya?

Vita ya kagera

Tanzania alipigana na
UGANDA
LIBYA
USA

na tukashinda [emoji81][emoji81][emoji81][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
wakenya walivyowanafiki, mwanzo wa vita walikuwa upande wa amini, mambo yalipomgeuka amini wakajidai kuisapoti Tanzania, wanafiki sana
 
TPDF sasa inajigamba na silaha za.kichina. silaha ambazo ni copy and paste kuota Ussr. Hizi silaha hazijatumika kwa vita vyema kujulikana kama ni imara. Izo ndege sijui J9 ambazo ni mig 21 old model zaweza pigwa na kungatuliwa na jiwe tuseme mjaluo akirusha. Ndege bure kabisa. Tz wakauzwa kwa mchina wasijue la kufanya. Atleast sasa hawatumii mishale tena na panga uko.
Nimechekaaa weeee hiiiiiii
 
Tuliza viroba dogo. Sitishiki kwa historia. Ukweli ni kuwa idi amin dada aliamua bongo ni nchi ya kumilikiwa kiraisi
Amin alifikiri anajua siri za JW kwa sababu alijifunzia jeshi Tanzania
 
UPDF is occupying Migingo n ur KDF can do nothing about!
 
na heri tuelekeze uganda maana unaelewa kenya hamna kitu, nakumbuka pindi jeshi la ethiopia lilikosea likavamia kambi ya jeshi kaskazini mwa kenya kdf wakatimua mbio kama mgambo, ingetokea tanzania, hiyo vita mwisho wake ingekuwa addis ababa
hahahaaa kdf walitoka nduki.....
 
Cha kushangaza TZ aikuwa na uasama wowote na Uganda kama Kenya. Idi amin alidhani TZ kuwa nchi hafifu sana isiyo na mwelekeo na kuelekeza chuki yake dhidi ya Kenya uko. Cha muhimu kujua ni kuwa aliogopa kuishambulia Kenya manake alijua ni nchi hatari sana na jeshi imara. Tz bado icho kipindi aikuwa na jeshi kamili wengi Katika TPDF walikuwa na panga na mishale aisee. Ukishangaa ya musa....
lakini kdf ni ovyo pamoja na vyombo vyenu vyoote vya ulinzi mi nilichoka tu pale westgate jamaa watatu na demu mmoja jumla wanne wa al shabaab wameingia westgate wamefanya yao majeshi yenu yakazingira westgate yote jamaa wakangoja mpaka saa 2 usiku wakaswali huku tukiwaona kwa CCTV wakamaliza na wakaondoka huku makomando wako hapo wanashangaa shangaa ...
 
lakini kdf ni ovyo pamoja na vyombo vyenu vyoote vya ulinzi mi nilichoka tu pale westgate jamaa watatu na demu mmoja jumla wanne wa al shabaab wameingia westgate wamefanya yao majeshi yenu yakazingira westgate yote jamaa wakangoja mpaka saa 2 usiku wakaswali huku tukiwaona kwa CCTV wakamaliza na wakaondoka huku makomando wako hapo wanashangaa shangaa ...
KENYA UKIAMUA UNAWEZA KUINGIA IKULU NA KUTOKA BILA YEYOTE KUJUA
 
Kusema ni tofauti na kutenda. Muulize alipitia nini alipojariku kuattack Western Kenya. Uliza Idi Amin nini ilifanyika alipotaka kunyakua Kenya hadi Naivasha.
ACHA UKORA WEWE, MBONA MUSEVENI KAJICHUKULIA KISIWA CHA MIGINGO NA MMEFYATA MKIA? PIA KALIITA JESHI LENU NI LEGELEGE, MNGEMZUIA BASI! KAZI KUJIDAI MNAJUA TU HUKU NI ZERO
 
ACHA UKORA WEWE, MBONA MUSEVENI KAJICHUKULIA KISIWA CHA MIGINGO NA MMEFYATA MKIA? PIA KALIITA JESHI LENU NI LEGELEGE, MNGEMZUIA BASI! KAZI KUJIDAI MNAJUA TU HUKU NI ZERO
Kuita sio kupigana malenge wewe. There's a capslock key on your computer, make good use of it.
 
Huyu hajui historia ya entebe airport raid na kuuawa kwa waziri wa Kenya na majasusi wa Amin ndani ya ardhi ya Kenya.
 
Historia ya Tanzania imepotoshwa makusudi na watawala. ukiongea na wanajeshi waliopigana hiyo vita wanasema tulipigw vibaya, tukasaidiwa na Uingereza, pia wanajeshi wetu waliawa sana kuliko namba inayotajwa. OVA
 
Kwanini Milton Obote alikimbilia Tanzania not Kenya? 😀
ANAIJUA HISTORIA VIZURI?
Obote alipopinduliwa unajua alikimbilia wapi kwa mara ya kwanza ili kupata hifadhi?

M.A.Obote baada ya kupinduliwa alikimbilia Kenya,akapokelewa na D.A.Moi uwanja wa ndege JKIA.
Moi akasema Kenya haiwezi kumpa hifadhi ya kisiasa kwa kuogopa uhusiano wake na Idd Amin. Hivyo akaishia hapo JKIA na kuja kupata hifadhi ya kisiasa Tanzania.
 
Back
Top Bottom