Mbona Uganda iliishambulia Tanzania badala ya Kenya?

We Kenya kwanin Luna makomando ,?na kama WAPO wengi wanawake coz waoga hawana weledi kabisaaa ,sasa itakua wakike bleed inawasumbua katika mazoezi
eti makomando gani hao??al shabaab wameondoka kitambo wao ndo wanaingia westgate ndani badala ya kufanya kazi iliyowapeleka wao wanaanza kudokoa mifuko ya sukari..!!mmoja akaona sanduku limefungwa akaanza kupambana nalo akitaka kulifungua ili akwibe kilichokua ndani..akaangaika nalo weeee hadi likamshinda kufungua akaamua kuachana nalo..mbaya zaidi hawakujua kama kuna CCTV camera zinawarekodi..
nb:"KDF ni jeshi legelege" in president museveni's voice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…