Zahra White
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 598
- 576
he is on the way to Kenya to give the family condolences to Kenyans
Nimetokamo kumsindika shemeji yenu Bishanga Airport dogo.
Masaa tatu atakuwa angani.Kaniambia munipe kampani yenu kwa muda huu.
The secretary mambo ya kumusumbua mume wangu toto yako iko munamulilia uwache.
Mrs Bishanga veve kila muda unalalamika pesa huna unawapa dogodogo watu8 bado hujamulipa mume wangu ile pesa yake.
ladydoctor mutabia yako mubaya wewe iko kila dakika beep my pedeshee.
Heeeeeeeiya tandale imegeuka kuwa airport mbona Bishanga tupo naye hapa anamalizia kuuza mkungu wa ndizi ladydoctor kazidi kubip mno bora umwambie Bishanga hana hamu naye dah! Halafu Zahra White Erickb52 anakutaka

Halafu Zahra White Erickb52 anakutaka
...anamtaka..!
Bishanga angekuwa hana hamu na mimi angeninunulia verossa????? Tena anampango wa kuninunulia nyumba South, we na Zahra White wako endelea kupiga domo, hamnitishi wala hamnibabaishi
Bishanga angekuwa hana hamu na mimi angeninunulia verossa????? Tena anampango wa kuninunulia nyumba South, we na Zahra White wako endelea kupiga domo, hamnitishi wala hamnibabaishi
Hahahahaha,lolsBaki kushangaa hivyo hivyo! Utakula "mawashiwashi!"