Mbona UVCCM sijawasikia wakipongeza "Nyongeza" ya mshahara?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Sio kawaida ya hawa Matarumbeta kushangilia Kila kitu, what happened? Hizi kelele za mitandaoni wangekua wameshasema neno, hii "Nyongeza" wameamua kuikalia kimya, au ni pesa ya vocha?

Samia anaupiga mwingi sio?
 
😂Kuna mkuu wa mkoa mmoja aliitisha maandamano ya watumishi wa umma kumpongeza mama kwa kutangaza "nyongeza" ya mshahara!

Sijui leo watumishi wanamkadiriaje yule POPOMPO😂😂
 
Sio kawaida ya hawa Matarumbeta kushangilia Kila kitu, what happened? Hizi kelele za mitandaoni wangekua wameshasema neno, hii "Nyongeza" wameamua kuikalia kimya, au ni pesa ya vocha?

Samia anaupiga mwingi sio?
Wamesema kuna nchi tatu zinataka Samia akawe rais wao ila hawajazitaja labda ni Somali, Afghanistan na Yemeni
 
Sio kawaida ya hawa Matarumbeta kushangilia Kila kitu, what happened? Hizi kelele za mitandaoni wangekua wameshasema neno, hii "Nyongeza" wameamua kuikalia kimya, au ni pesa ya vocha?

Samia anaupiga mwingi sio?
 
Attachments

  • 267581DC-46E1-4307-8CC2-9E3C8EB6C03D.jpeg
    267581DC-46E1-4307-8CC2-9E3C8EB6C03D.jpeg
    78 KB · Views: 7
Back
Top Bottom