Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahaaahà wameongezewa buku bukuItakuwa hawana mabando, ndiyo walitegemea nyongeza
hata bando haitoshi kabsaHahaaahà wameongezewa buku buku
Hahahahahaaa wanamtukana kisirisiri😂Kuna mkuu wa mkoa mmoja aliitisha maandamano ya watumishi wa umma kumpongeza mama kwa kutangaza "nyongeza" ya mshahara!
Sijui leo watumishi wanamkadiriaje yule POPOMPO😂😂
Wamesema kuna nchi tatu zinataka Samia akawe rais wao ila hawajazitaja labda ni Somali, Afghanistan na YemeniSio kawaida ya hawa Matarumbeta kushangilia Kila kitu, what happened? Hizi kelele za mitandaoni wangekua wameshasema neno, hii "Nyongeza" wameamua kuikalia kimya, au ni pesa ya vocha?
Samia anaupiga mwingi sio?
Sio kawaida ya hawa Matarumbeta kushangilia Kila kitu, what happened? Hizi kelele za mitandaoni wangekua wameshasema neno, hii "Nyongeza" wameamua kuikalia kimya, au ni pesa ya vocha?
Samia anaupiga mwingi sio?