elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Umenichekesha kweli.kimalikia kinawashinda wanashindwa kuchagua wanachotaka kwa ufasaha..
wanakubali tu kuepusha majibizano[emoji23][emoji23][emoji23]
ila mimi nahisi ni uimbaji ndio unafanya beat liwe la aina fulani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio ww chunguza sanaUmenichekesha kweli.
Inawezekana kweli maana wao mbele ya magari wanacheza cheza tu
Daaah kweli maana lugha za watu unaweza kuwa wataka soda ukapewa bapa kuua soo ikabidi ukubari tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio ww chunguza sana
utajua
bila kujieleza huwezi pata unachotaka..
sio kama unapoenda kwa mensen, beat limewekwa unasema hapo mesen weka basi tarumbeta,kata hapa weka sijui nini..
ukiwa kwa dj maphorisa kazi yako kuitikia
yes,no
kabisa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanunue wakalimaniDaaah kweli maana lugha za watu unaweza kuwa wataka soda ukapewa bapa kuua soo ikabidi ukubari tu.
Waanze kuwa wanambeba mkarimani wa baraka da prince awasaidie
Wawe wanambeba madame sepetungakabisa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanunue wakalimani
kwani Tsh ngapi?
[emoji23][emoji23]
kimalikia kinawashinda wanashindwa kuchagua wanachotaka kwa ufasaha..
wanakubali tu kuepusha majibizano[emoji23][emoji23][emoji23]
ila mimi nahisi ni uimbaji ndio unafanya beat liwe la aina fulani
Kwasabu za wabongo wanafanya copy and paste.Nikitazama video za emtee mfano roll up na hii mpya sijui inaitwaje naona kali kuliko video za wasanii wetu.
Hata video ya divido ft uhuru - sound iko safi.
Sisi zetu ka zinafanana hawa S.A watakuwa wanawapa second products wasanii wetu sio bure...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio ww chunguza sana
utajua
bila kujieleza huwezi pata unachotaka..
sio kama unapoenda kwa mensen, beat limewekwa unasema hapo mesen weka basi tarumbeta,kata hapa weka sijui nini..
ukiwa kwa dj maphorisa kazi yako kuitikia
yes,no
kunywa maji kijanaKwasabu za wabongo wanafanya copy and paste.
Ona hii imefanyika south Africa.
CopyView attachment 440802View attachment 440803View attachment 440804
PasteView attachment 440806View attachment 440807View attachment 440808
Wabongo are not original na hawana exposure ndiyo maana the same producer anafanya faster kumaliza video ya mbongo ili akaumize kichwa kumalizia video ya mtu wa SA mwenye exposure ya kutosha ambaye hawezi kukubali video janja-janja.
Aisee hii ni hatari, hivi wanashindwa kuja na vitu tofauti kweliKwasabu za wabongo wanafanya copy and paste.
Ona hii imefanyika south Africa.
CopyView attachment 440802View attachment 440803View attachment 440804
PasteView attachment 440806View attachment 440807View attachment 440808
Wabongo are not original na hawana exposure ndiyo maana the same producer anafanya faster kumaliza video ya mbongo ili akaumize kichwa kumalizia video ya mtu wa SA mwenye exposure ya kutosha ambaye hawezi kukubali video janja-janja.
Mkuu hata video za justin campos sijui nimepatia jina sometimes anawatengenezea vdeo zinafanana yan mademu wakali magari makali bustan za hotelin kitanda na masofa meupeVideo kuwa nzuri inategemea na mazingira ya mahali flani. Hawa wanaotoka na madirector wa uku ,unategemea watakua wanajua mazingira mazuri?
Mkuu hata video za justin campos sijui nimepatia jina sometimes anawatengenezea vdeo zinafanana yan mademu wakali magari makali bustan za hotelin kitanda na masofa meupe
Inawezekana kwel mkuuLabda wao ndio wanachagua hivyo,pia bei unayotoa ndio itakupa uwezo wakutaka kitu kizuri zaidi.