Mbona video za wasanii wetu wanazotengenezea S.A sio kali kama za wasanii wenzao?

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,261
Reaction score
9,733
Nikitazama video za emtee mfano roll up na hii mpya sijui inaitwaje naona kali kuliko video za wasanii wetu.
Hata video ya divido ft uhuru - sound iko safi.
Sisi zetu ka zinafanana hawa S.A watakuwa wanawapa second products wasanii wetu sio bure...
 
Umenichekesha kweli.
Inawezekana kweli maana wao mbele ya magari wanacheza cheza tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio ww chunguza sana
utajua
bila kujieleza huwezi pata unachotaka..

sio kama unapoenda kwa mensen, beat limewekwa unasema hapo mesen weka basi tarumbeta,kata hapa weka sijui nini..
ukiwa kwa dj maphorisa kazi yako kuitikia
yes,no
 
Daaah kweli maana lugha za watu unaweza kuwa wataka soda ukapewa bapa kuua soo ikabidi ukubari tu.
Waanze kuwa wanambeba mkarimani wa baraka da prince awasaidie
 
kabisa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanunue wakalimani
kwani Tsh ngapi?
[emoji23][emoji23]
 
kimalikia kinawashinda wanashindwa kuchagua wanachotaka kwa ufasaha..

wanakubali tu kuepusha majibizano[emoji23][emoji23][emoji23]
ila mimi nahisi ni uimbaji ndio unafanya beat liwe la aina fulani

Una ugomvi na alikiba
 
Hao watengenezao video south kwa bongo zote zinafanana hadi zinakuwa hazina jipya, siku hizi had colour mbaya
 
Wa kwetu wanatengeneza ili awahi kumfunika mwenzie au ili mradi na yeye asikike ameenda Bondeni kushoot video (halafu akija huku anaongeza sifuri mbele).
Maandalizi ya maana hakuna.
 
Video hizo za Icon zina shida gani???
 
Nikitazama video za emtee mfano roll up na hii mpya sijui inaitwaje naona kali kuliko video za wasanii wetu.
Hata video ya divido ft uhuru - sound iko safi.
Sisi zetu ka zinafanana hawa S.A watakuwa wanawapa second products wasanii wetu sio bure...
Kwasabu za wabongo wanafanya copy and paste.
Ona hii imefanyika south Africa.
Copy
1480357005070.png
1480357025465.png
1480357056053.png

Paste
1480357086742.png
1480357126743.png
1480357157182.png

Wabongo are not original na hawana exposure ndiyo maana the same producer anafanya faster kumaliza video ya mbongo ili akaumize kichwa kumalizia video ya mtu wa SA mwenye exposure ya kutosha ambaye hawezi kukubali video janja-janja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio ww chunguza sana
utajua
bila kujieleza huwezi pata unachotaka..

sio kama unapoenda kwa mensen, beat limewekwa unasema hapo mesen weka basi tarumbeta,kata hapa weka sijui nini..
ukiwa kwa dj maphorisa kazi yako kuitikia
yes,no
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Video kuwa nzuri inategemea na mazingira ya mahali flani. Hawa wanaotoka na madirector wa uku ,unategemea watakua wanajua mazingira mazuri?
 
Kwasabu za wabongo wanafanya copy and paste.
Ona hii imefanyika south Africa.
CopyView attachment 440802View attachment 440803View attachment 440804

PasteView attachment 440806View attachment 440807View attachment 440808
Wabongo are not original na hawana exposure ndiyo maana the same producer anafanya faster kumaliza video ya mbongo ili akaumize kichwa kumalizia video ya mtu wa SA mwenye exposure ya kutosha ambaye hawezi kukubali video janja-janja.
kunywa maji kijana
 
Aisee hii ni hatari, hivi wanashindwa kuja na vitu tofauti kweli
 
Video kuwa nzuri inategemea na mazingira ya mahali flani. Hawa wanaotoka na madirector wa uku ,unategemea watakua wanajua mazingira mazuri?
Mkuu hata video za justin campos sijui nimepatia jina sometimes anawatengenezea vdeo zinafanana yan mademu wakali magari makali bustan za hotelin kitanda na masofa meupe
 
Labda wao ndio wanachagua hivyo,pia bei unayotoa ndio itakupa uwezo wakutaka kitu kizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom