Mbona video za wasanii wetu wanazotengenezea S.A sio kali kama za wasanii wenzao?

Mim ni mdau wa bongo fleva ngoja nije nilitolee ufafanuzi
 
Tatizo ni Pesa na Lugha.

MwanaFA ile ngoma ya Dume Suruali kapoteza muda na pesa.

Darassa kafanya video na hanscana imekuwa kali kuliko MwanaFA alietoa mamilioni kwenda Sauz
 
Kwasabu za wabongo wanafanya copy and paste.
Ona hii imefanyika south Africa.
CopyView attachment 440802View attachment 440803View attachment 440804

PasteView attachment 440806View attachment 440807View attachment 440808
Wabongo are not original na hawana exposure ndiyo maana the same producer anafanya faster kumaliza video ya mbongo ili akaumize kichwa kumalizia video ya mtu wa SA mwenye exposure ya kutosha ambaye hawezi kukubali video janja-janja.

Ungeonekana wa maana kama unguweka pia za kiba alizokopi .......
lakini kwa wivu wako...kunywa maji dada
 
Kwasabu za wabongo wanafanya copy and paste.
Ona hii imefanyika south Africa.
CopyView attachment 440802View attachment 440803View attachment 440804

PasteView attachment 440806View attachment 440807View attachment 440808
Wabongo are not original na hawana exposure ndiyo maana the same producer anafanya faster kumaliza video ya mbongo ili akaumize kichwa kumalizia video ya mtu wa SA mwenye exposure ya kutosha ambaye hawezi kukubali video janja-janja.
hivi mnajua maana ya copy & paste??????
semeni ameiga mahadhi fulani ya video fulani!!
sio copy & paste
halafu hio ya diamond ambayo ndo mnasema idea kaiga kwa lily whyne
ndio nzuri kuliko hao wenye idea yao!!!!!!

wamatopeni mtupishe
 
Nikitazama video za emtee mfano roll up na hii mpya sijui inaitwaje naona kali kuliko video za wasanii wetu.
Hata video ya divido ft uhuru - sound iko safi.
Sisi zetu ka zinafanana hawa S.A watakuwa wanawapa second products wasanii wetu sio bure...
Mbaya zaidi wanacopy idea
 
hivi mnajua maana ya copy & paste??????
semeni ameiga mahadhi fulani ya video fulani!!
sio copy & paste
halafu hio ya diamond ambayo ndo mnasema idea kaiga kwa lily whyne
ndio nzuri kuliko hao wenye idea yao!!!!!!

wamatopeni mtupishe
Kwa nini uige kazi ambayo mwenzako ameitolea jasho
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio ww chunguza sana
utajua
bila kujieleza huwezi pata unachotaka..

sio kama unapoenda kwa mensen, beat limewekwa unasema hapo mesen weka basi tarumbeta,kata hapa weka sijui nini..
ukiwa kwa dj maphorisa kazi yako kuitikia
yes,no
Wanaongelea video sio audio. Audio zinatengenezwa bongo video ndiyo south Africa. Kama huwezi kutofautisha vitu vidogo kama hivi huwezi walaumu wasanii wetu
 
Kwasabu za wabongo wanafanya copy and paste.
Ona hii imefanyika south Africa.
CopyView attachment 440802View attachment 440803View attachment 440804

PasteView attachment 440806View attachment 440807View attachment 440808
Wabongo are not original na hawana exposure ndiyo maana the same producer anafanya faster kumaliza video ya mbongo ili akaumize kichwa kumalizia video ya mtu wa SA mwenye exposure ya kutosha ambaye hawezi kukubali video janja-janja.
Hakuna kitu kipya kwenye videos. Ninaweza kutaja video 1000 zenye vipande kama hivyo. Jaribuni hata Ku Google maana ya copyright infringement kabla hamjabwabwaja. Ngoja nikuulize swali; nikitoa video Leo naendesha gari nitakua nimecopy?
 
Nikitazama video za emtee mfano roll up na hii mpya sijui inaitwaje naona kali kuliko video za wasanii wetu.
Hata video ya divido ft uhuru - sound iko safi.
Sisi zetu ka zinafanana hawa S.A watakuwa wanawapa second products wasanii wetu sio bure...
Jibu n raisi director wanao direct izo video hawa direct video za wasanii wa bongo mfano roll up imefanya n Ofentse Mwase Films uku the sound imefanywa n seasan nyimbo nyingi za bongo zinashootiwa n godfather, Justin Campos, Nick n meja alab
So uwezi zifaninsha
 
Hakuna kitu kipya kwenye videos. Ninaweza kutaja video 1000 zenye vipande kama hivyo. Jaribuni hata Ku Google maana ya copyright infringement kabla hamjabwabwaja. Ngoja nikuulize swali; nikitoa video Leo naendesha gari nitakua nimecopy?
Taja hizo video 1000
 
Back
Top Bottom