Mbona wabunge wa CCM wanakumbana na aibu kubwa Sana majimboni kwao?

Watz hawapendi ugomvi ila ukiwazingua..wanakususia..subiri hichi kizazi cha jobless kijazane kitaa ndio watajua hawajui..hizi ni dalili mbaya sana kwa ccm.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wabunge wa mchongo wa mwendazake
 
Ni kawaida tu Mkuu

Huoni kuwa ni msimu wa kilimo huu wananchi wapo busy mashambani
 
Mpaka muda huu teknologia ilivyokuwa bado Kuna mbunge anafikiria kukusanya watu waache shughuli zao kwenda kumpigia makofi? Wabunge waombe vipindi kwenye tv waonyeshe kazi zao na Kila Jimbo kuwe na screen kubwa kama za matangazo Ili wabunge wawe wanapositi kazi zao hapo kwenye screen tuwe tunaangalia wenyewe tunawapima kazi zao kwa muda wetu.
 
Wananchi hawana matumaina na serikali yao kuwaletea maendeleo.

Kimsingi ni Rahisi sana kwa sasa kupata mapokezi ukienda Dubai kuliko ukienda mkoani.

Kitaa watu wanapambana na hari yao hawana mda na serikali.
 
Hao ni wabunge walioteuliwa hawakuchaguliwa na wananchi,na aliwateua ameshafariki,sasa wananchi waende kumsikiliza atawaambia nini?
 
Watz hawapendi ugomvi ila ukiwazingua..wanakususia..subiri hichi kizazi cha jobless kijazane kitaa ndio watajua hawajui..hizi ni dalili mbaya sana kwa ccm.

#MaendeleoHayanaChama
Tena mbaya sana
 
Ata America watu wanajazana kuwasikiliza wabunge wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…