Mbona wabunge wa CCM wanakumbana na aibu kubwa Sana majimboni kwao?

Hili tangazo linaonesha mkutano ulikuwa uwe leo Tarehe 2 March na ndio umeahirishwa, wewe unasema alikosa watu ndio maana ukaahirishwa, ni ama hili tangazo alihusiani na habari yenyewe ( kwa maana mkutano aliokosa watu ni mwingine), au kukosekana kwa watu huko kwingine ndio kumepelekea huu mkutano wa Mbugani kuahirishwa AU umeamua tu kutunga hadithi kwa chuki zako!
 
Mkuu uko sahihi, tatizo sio technology bali ni uhalali wa umma. Kama unakubalika, watu wataacha shuguli zao na kwenda kukusikiliza. Huoni watu wanaenda uwanjani kuangalia mpira wakati unaonyeshwa kwenye TV?
 
goli la mkono.
 
Yupo mtaani toka juzi huo Ni mkutano wa pili baada ya kwanza kukosa watu
 
Mkuu uko sahihi, tatizo sio technology bali ni uhalali wa umma. Kama unakubalika, watu wataacha shuguli zao na kwenda kukusikiliza. Huoni watu wanaenda uwanjani kuangalia mpira wakati unaonyeshwa kwenye TV?
Trump America anakusanya ma elfu kwa ma elfu, Kama unapendwa watu watakusikiliza tu
 
Sote tunajia hawakuchaguliwa ila thread yako ndo inaonesha kuwa walichaguliwa na ww huelewi kwann wamesusua ilihali unafahamu wato wameingia kwa mchongo
 
Mkuu uko sahihi, tatizo sio technology bali ni uhalali wa umma. Kama unakubalika, watu wataacha shuguli zao na kwenda kukusikiliza. Huoni watu wanaenda uwanjani kuangalia mpira wakati unaonyeshwa kwenye TV?
Umenikumbusha Enzi za Tundu Lissu hakuwa na Bango hata moja nchi nzima, hakuna gazeti wala redio lilitangaza habari zake. Picha za mgombea wa ccm zilijaa hadi kwenye majengo ya vyoo.
 
Sote tunajia hawakuchaguliwa ila thread yako ndo inaonesha kuwa walichaguliwa na ww huelewi kwann wamesusua ilihali unafahamu wato wameingia kwa mchongo
[emoji1][emoji1]
 
Umenikumbusha Enzi za Tundu Lissu hakuwa na Bango hata moja nchi nzima, hakuna gazeti wala redio lilitangaza habari zake. Picha za mgombea wa ccm zilijaa hadi kwenye majengo ya vyoo.
Ule uchaguzi sitosahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…