Moja ya Masharti ya Mchawi na Mganga (Kumbuka waganga ndiyo Wachawi pia) ni kutogusa pesa pale wanapoenda kuwanga, hayo ni Masharti yao, siku Mchawi akichukua Pesa akiwa kwenye harakati zake za kuwanga, then zile Nguvu zake za kuruka zinakuja Powerless na hawezi hata kutoka eneo husika kichawi Tena.
So wachawi kama Wachawi wao na Pesa ni mbalimbali ndiyo maana ni Masikini, japo wapo Washirikina hutumia vitu vingine kuiba pesa Kwa watu ama taasisi, vitu kama Misukule, Spirits za Chuma ulete, Kamba ya kujinyongea, Mafuta ya Msukule, Wanyama baadhi na vitu vichache vya Kiroho... N.k