Kama kichwa cha habari kinavyojielezea hapo juu mbona wachawi hawaibi Bank au mbona Nchi zinazoongoza kwa Ushirikina kwanye Mashindano mengi huwa hawashindi pia hata maendeleo inakuwa changamoto
Unashauliwa ukiwa na pesa nying kuepukana na chuma ulete na wizi wa rejareja tunza kweny SAFE hata benk wanatunza kweny SAFE.
Safe ni sanduku zito la chuma ila hua nabak na maswali.
je' safe hilo hutengenezwa na nin mpaka uchaw usipenye?