KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
Wamejaa sana, badae ndo unashangaa wameshika kila kitu waafrica wanabaki vidampa, na wanadharau sana waafricaHakuna udhibiti wa Wageni, uhamiaji Bize na kuwanyima watu pasopoti.wanaacha wachina wanazulula kama maembe sindano.
watz nunueni ardhi , very soon migogoro mikubwa itaanzaKila sehem wapo, Magerage wapo, maduka, karikoo wanaanza kuishika, mitaani wamejaa, kwenye viwanja vya ndege wapo, Mabondo ndo wamewekana kila level, yani humuuzii mchina wa juu bila kuwauzia wachina wa mitaani. Vidispensary wamevijaza kila kona
Hawa wanaongezea dola kupanda maana wanachuma hela na kuziba mianya ya waTanzania mwisho wanabadilisha hela yetu wanaondoka na dola.
Hivi serikali yetu ni serikali inayopenda mema ya waTanzania au mema ya wachina
Naiomba serikali iingilie kati kiukweli
Niliwakuta mtaa mmoja hivi wana pickup imejaa Home appliances, wanauza kwa kupita nyumba kwa nyumba, unawapa kianzio then wataijia ilobaki, huku wabongo tunasubiri wateja waje dukani mchina anawafata nyumbani.Niliona wachina 2 na wabongo3 wanauza sola kijijini mji kwa mji mguu kwa mguu.Hongera sana wachina wana akili sana wanajua hadi kusalimia kisukuma.
Hiyo iko wazi jamaa wanakunywa maji kandoro wala hawawazi kabisa na walisema watu kuwa wanalala hukohuko kwenye miji ya watu mkikubali kuwahifadhi.Niliwakuta mtaa mmoja hivi wana pickup imejaa Home appliances, wanauza kwa kupita nyumba kwa nyumba, unawapa kianzio then wataijia ilobaki, huku wabongo tunasubiri wateja waje dukani mchina anawafata nyumbani.