Mbona walinzi wa Samia hawakuvaa sare za chama juzi kwenye Mkutano Mkuu wa CCM?

Mbona walinzi wa Samia hawakuvaa sare za chama juzi kwenye Mkutano Mkuu wa CCM?

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Enzi ya awamu ya tano, aliyepata kuwa mwenyekiti wa ccm John Magufuli, walinzi wake walikuwa wakivaa sare za chama hiko kwenye mikutani na shughuli za chama hiko.

Lakini kwasasa ni tofauti, kwa siku mbili mtawalia, sikuona walinzi wa Samia wakiwa na sare za chama, je mambo yamerudi kwenye utaratibu?
IMG_5094.jpeg


Soma pia
 
Kila mmoja na sheria zake.
Ukiwa Rais wavishe hata ngozi 😄 🤣
 
Hawakutana kufanana na wajumbe.

Wajumbe wamepigwa butwaa wamepoteana.

Hawakuelewa nini kilitokea pale ndani, walijikuta wanaimba mara maamuzi hayo, mkutano ukaisha.
 
Na ndivyo inavyotakiwa!, idara za ulinzi huwa zinatakiwa zinabadili mbinu ama protocol sio kila siku wanaamka na mambo yaleyale!.

Hichi hujutokeza sana, hata wakati wa obama kuna mahali palicheza kuna taarifa zilionekana kama zimevuja juu ya ulinzi wake na ilikuwa imebaki masaa machache tu aende kwenye tafrija aliyokuwa amealikwa, walivyobaini hivyo walibadili ulinzi wake wote kwa siku hiyo akapewa walinzi wengine na hapohapo wakabadili protocol zote ambazo wale walinzi wa awali walikuwa wamepanga zifuatwe!.
ni kawaida tu mkuu.
 
Back
Top Bottom