Na ndivyo inavyotakiwa!, idara za ulinzi huwa zinatakiwa zinabadili mbinu ama protocol sio kila siku wanaamka na mambo yaleyale!.
Hichi hujutokeza sana, hata wakati wa obama kuna mahali palicheza kuna taarifa zilionekana kama zimevuja juu ya ulinzi wake na ilikuwa imebaki masaa machache tu aende kwenye tafrija aliyokuwa amealikwa, walivyobaini hivyo walibadili ulinzi wake wote kwa siku hiyo akapewa walinzi wengine na hapohapo wakabadili protocol zote ambazo wale walinzi wa awali walikuwa wamepanga zifuatwe!.
ni kawaida tu mkuu.