Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,923
Hawa hawana bitambi kwakuwa ni watotoMaana ukiangalia viongozi wa rais wa china, Marekani ni very slim yaan wako na ile fitness ya hali juu. Nikibahatika kuwa mlinzi wa kiongozi sitokuwa na kitambi na nitahakikisha askari wote hawana vitambi.
Eti enhe but a true trained soldier kila siku mazoezi hasa pushups, na katatumbo.Hawa hawana bitambi kwakuwa ni watoto
KumbeSio vitambi vile ila wanakuaga wameficha RPG tumboni mkuu.View attachment 1612526
Mazoezi ni kazi ile security image inashuka kitambi ni aina fulani ya weaknesses a.k.a ObesityKwa sababu hawana kazi nyingine
MkuuUnachosema ni sahihi lkn kuna utofauti kati yao. Mfano mlinzi wa raisi JMT yule anaevaa mavazi ya kijeshi ni yuko fiti sababu alikotokea kila siku ni mazoezi tosha kulingana na ratiba za kijeshi zilivyo. Tofauti na hao usalama wa taifa hawa hupewa mafunzo na namna ya kukabiliana na hali za hatari lakini kulingana na majukumu yao nadhani hawaoni umuhimu huo.
Duh!Eti enhe but a true trained soldier kila siku mazoezi hasa pushups, na katatumbo.
Yule sio mlinzi ni AID DE CAMP mpambe yaani wa raisUnachosema ni sahihi lkn kuna utofauti kati yao. Mfano mlinzi wa raisi JMT yule anaevaa mavazi ya kijeshi ni yuko fiti sababu alikotokea kila siku ni mazoezi tosha kulingana na ratiba za kijeshi zilivyo.
Tofauti na hao usalama wa taifa hawa hupewa mafunzo na namna ya kukabiliana na hali za hatari lakini kulingana na majukumu yao nadhani hawaoni umuhimu huo.
Unachosema ni sahihi lkn kuna utofauti kati yao. Mfano mlinzi wa raisi JMT yule anaevaa mavazi ya kijeshi ni yuko fiti sababu alikotokea kila siku ni mazoezi tosha kulingana na ratiba za kijeshi zilivyo.
Tofauti na hao usalama wa taifa hawa hupewa mafunzo na namna ya kukabiliana na hali za hatari lakini kulingana na majukumu yao nadhani hawaoni umuhimu huo.
AhaaaaKitimoto ndo sababu
KumbeeeeSijui mtakuja kuelewa lini kuwa ADC sio Mlinzi