Mbona waliondamana ufaransa wengi ni wahamiaji. Kwaninni wao tu ndio wenye matatizo?

Mbona waliondamana ufaransa wengi ni wahamiaji. Kwaninni wao tu ndio wenye matatizo?

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,887
Reaction score
6,657
Maandamano makali yaliofanyika ufaransa na kuleta uharibifu ilionekana waliohusika walikuwa wahamiaji hasa wenye asili kutoka Mashariki ya kati, Africa kaskazini na nchi za Sahel.

Kwani ni hao pekee kati ya million 70 ufaransa wenye matatizo ya kiuchumi?

ChoiceVariable
 
Waislamu ni tatizo la dunia.Na mpongeza poland na Trump .
1792582977499.jpg
 
Msipeleke majeshi yenu kwenye nchi kuiba na rasilimali zao.
Mmeweka makusud mamluki kupigana vita dhidi ya serikali zao halafu mnakuja kulalamika kuhusu wahamiaji
 
Mie kitu kinachonishangaza kuhusu hawa watu uwa wanapiga makelele mengi sana sijui kuhusu makafiri lakini hawataki kwenda kwenye nchi zenye kufuata dini yao kama Saudi Arabia, UAE, Iran, Iraq, Oman etc. wameng'ang'ania huko huko kwa makafiri. Hata hao waarabu koko wa bongo na wazanzibar uwa hawakimbilii kwa waarabu wenzao kutwa ni huko huko kwa makafiri siwaelewi kabisa hawa wafia dini.
 
Maandamano makali yaliofanyika ufaransa na kuleta uharibifu ilionekana waliohusika walikuwa wahamiaji hasa wenye asili kutoka Mashariki ya kati, Africa kaskazini na nchi za Sahel.

Kwani ni hao pekee kati ya million 70 ufaransa wenye matatizo ya kiuchumi?

ChoiceVariable
Manamba(cheap labours, watumwa, watwana) kazi ngumu malipo kidogo. Hata timu yao ya taifa imejaa manamba tu. Bila manamba nchi za magharibi zitapotea kwenye uso wa dunia

Wazungu waache kuiba mali za mataifa mengine, wenye mali hizo iko siku watazifuata hukohuko kuzichukua.
 
Back
Top Bottom