Hiyo midomo ya hao jamaa iliyo wazi hapo inatamkwa ile kauli maarufu.. "Alloha snackbar....."Waislamu ni tatizo la dunia.Na mpongeza poland na Trump .View attachment 3695368
ndio ni waislam waarabu, wamekosa haya kwenye nchi ya watuKwann unazunguka mmbuyu mkuu wangu...c useme tu n waislamu ndio wanakiwasha wakijiona ufaransa n nchi yao tayari...
Haya yote ni magaidiKukaribisha watu wenye madevu ndio maana saudia hana wakata vichwaView attachment 3695392
Manamba(cheap labours, watumwa, watwana) kazi ngumu malipo kidogo. Hata timu yao ya taifa imejaa manamba tu. Bila manamba nchi za magharibi zitapotea kwenye uso wa duniaMaandamano makali yaliofanyika ufaransa na kuleta uharibifu ilionekana waliohusika walikuwa wahamiaji hasa wenye asili kutoka Mashariki ya kati, Africa kaskazini na nchi za Sahel.
Kwani ni hao pekee kati ya million 70 ufaransa wenye matatizo ya kiuchumi?
ChoiceVariable