Mbona wanaijeria hawashobokei kabisa AFRIMMA?

Paul S.S

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2009
Posts
6,407
Reaction score
3,260
Nimejaribu kuangalia social media za wasanii karibu wote wakubwa wa nijeria lakini hakuna hata mmoja ameshobokea hadi sasa kupost chochote wala kuomba kura kama ilivyokua kwenye nomination za Mtv

Je hazina uzito kivile ama nini?
 
wewe tuzo gani hadi cheketwa yupo ndomana hazina mpango
 
Hapana yemi alade kapost insta nahc n jana ile kaangalie ktk pcha zake tatu za mwsho kupost.
 
Kwahiyo wa NIGERIA ndio muongozo wa maisha yako? silly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…