Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wameona hazina ishu, we hadi kibakuli ndani
wameona hazina ishu, we hadi kibakuli ndani
Umejaribu kuziangalia social media zao au umejaribu kuwaangalia wao ktk social media?
+wana mituzo mingi wale, wameona hizi hazina inshu
Mbona Mtvmama walishoboka yaani akiwa nominated pale pale anapost na majigambo kibao
Umejaribu kuziangalia social media zao au umejaribu kuwaangalia wao ktk social media?
Hahahahahahaha umeua"
Hahahaaa jamani!
Kwahiyo wa NIGERIA ndio muongozo wa maisha yako? silly.
Kwahiyo wa NIGERIA ndio muongozo wa maisha yako? silly.
Hapana yemi alade kapost insta nahc n jana ile kaangalie ktk pcha zake tatu za mwsho kupost.