Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Anza kuwauliza hao TOC, halafu Usogee RT wamekaa tu ofisiniWiki mbili zilizopita mwanaradha pekee aliyewakilisha mbio za dunia za marathon alishindwa kumaliza mbio hizo ambazo zilifanyika Hungary
Leo mwanariadha mwingine ameshindwa kumaliza mbio hizo
Kuna tatizo gani huko jaman chama Cha riadha RT mmekaa TU ofisin hamuoni Kuna tatizo
Kamati ya olimpic TOC Nanyi mnayaona haya
@
Tulimpongeza sana mkuu huwa huoni.Hawatumii mafuta ni binadamu hao.
Mbona Gabriel aliyeshindwa kunaliza jana, miezi michache iliyopita alitamba Marekani?
Mbona hukujitokeza kumpongeza?
Umenena vyema, maandalizi hafifu, hakuna kambi rasmi. Wanariadha wanapambana peke yao ni shida tupuHivi unadhani mbio ndefu bila maandalizi ya kutosha na yenye tija kufuata kanuni za kimichezo ni rahisi kutoboa? Taarifa ya ushiriki inatoka kabla ya miezi 4, Chama cha michezo kinatoa pesa za maandalizi imebaki mwezi mmoja unadhani utakuwa sawa na yule aliyekabidhiwa all facilities miezi minne kabla?
Ubovu si wa wanamichezo bali maandalizi duni.
Fuatilia. TOC ndio kikwazo kikubwa toka 21+ iliyopita wanakula pesa za maandalizi za WanariadhaSi RT wala TOC wanaothamini riadha,maana migogoro kila siku
Wanategemea hizi marathon za mabenki kujifua ambazo ndani yake kuna wapunguza shibe kibaoUmenena vyema, maandalizi hafifu, hakuna kambi rasmi. Wanariadha wanapambana peke yao ni shida tupu
Nawajua hao mkuu, jamaa wanakula hela kitambo tuFuatilia. TOC ndio kikwazo kikubwa toka 21+ iliyopita wanakula pesa za maandalizi za Wanariadha
Wenzetu wanafanya mazoezi kwa vipimo maalumu kuonesha their improvements kadri muda unavyosonga mbele, sisi huku kukimbia kwenye vilima ndio kipimo kuwa uko fit.....kalaghabahooo🤣🤣🤣🤣🙌Umenena vyema, maandalizi hafifu, hakuna kambi rasmi. Wanariadha wanapambana peke yao ni shida tupu
Ni mchezo wenye kulipa fedha nyingi kuliko mchezo wowote, ukiwa na Wanariadha 11 kama timu ya mpira, wote wae na viwango bora, utachukua dolla elfu kumi kwa kila mchezaji na Mchezaji apate kiwango kikubwa…FuatiliaHuo mchezo sijawahi kuuelewa kabisa Faida yake kwa Mtazamaji.
Hivi kuna faida gani kwa Taifa?
Kuliko Golf? Au Kuliko Tennis?Ni mchezo wenye kulipa fedha nyingi kuliko mchezo wowote, ukiwa na Wanariadha 11 kama timu ya mpira, wote wae na viwango bora, utachukua dolla elfu kumi kwa kila mchezaji na Mchezaji apate kiwango kikubwa…Fuatilia
Anayeweza pia hushindwa, ndio ubinadamu, mkamilifu ni Mungu tu huyu hashindwi kituTulimpongeza sana mkuu hua huoni.
Inaonekana haka kamchezo ka kushindwa kumaliza unakapenda.
golf huwezi fananisha na kukimbiza ushuzi ni mbingu na aridhiKuliko Golf? Au Kuliko Tennis?
Jamaa hapo kasema kukimbiza ushuzi ndio mchezo unaolipa zaidi kuliko mchezo wowote.golf huwezi fananisha na kukimbiza ushuzi ni mbingu na aridhi