Mbona wanariadha wa Tanzania wa mbio ndefu hawamalizi mbio hizo?

Mbona wanariadha wa Tanzania wa mbio ndefu hawamalizi mbio hizo?

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Wiki mbili zilizopita mwanaradha pekee aliyewakilisha mbio za dunia za marathon alishindwa kumaliza mbio hizo ambazo zilifanyika Hungary.

Leo mwanariadha mwingine ameshindwa kumaliza mbio hizo.

Kuna tatizo gani huko jamani chama Cha riadha RT mmekaa TU ofisini hamuoni Kuna tatizo.

Kamati ya olimpic TOC Nanyi mnayaona haya
 
Wiki mbili zilizopita mwanaradha pekee aliyewakilisha mbio za dunia za marathon alishindwa kumaliza mbio hizo ambazo zilifanyika Hungary

Leo mwanariadha mwingine ameshindwa kumaliza mbio hizo

Kuna tatizo gani huko jaman chama Cha riadha RT mmekaa TU ofisin hamuoni Kuna tatizo

Kamati ya olimpic TOC Nanyi mnayaona haya

@
Anza kuwauliza hao TOC, halafu Usogee RT wamekaa tu ofisini
 
Hawatumii mafuta ni binadamu hao.
Mbona Gabriel aliyeshindwa kunaliza jana, miezi michache iliyopita alitamba Marekani?

Mbona hukujitokeza kumpongeza?
Tulimpongeza sana mkuu huwa huoni.
Inaonekana haka kamchezo ka kushindwa kumaliza unakapenda.
 
Hivi unadhani mbio ndefu bila maandalizi ya kutosha na yenye tija kufuata kanuni za kimichezo ni rahisi kutoboa? Taarifa ya ushiriki inatoka kabla ya miezi 4, Chama cha michezo kinatoa pesa za maandalizi imebaki mwezi mmoja unadhani utakuwa sawa na yule aliyekabidhiwa all facilities miezi minne kabla?
Ubovu si wa wanamichezo bali maandalizi duni.
 
Umenena vyema, maandalizi hafifu, hakuna kambi rasmi. Wanariadha wanapambana peke yao ni shida tupu
 
Umenena vyema, maandalizi hafifu, hakuna kambi rasmi. Wanariadha wanapambana peke yao ni shida tupu
Wenzetu wanafanya mazoezi kwa vipimo maalumu kuonesha their improvements kadri muda unavyosonga mbele, sisi huku kukimbia kwenye vilima ndio kipimo kuwa uko fit.....kalaghabahooo🤣🤣🤣🤣🙌
 
Huo mchezo sijawahi kuuelewa kabisa Faida yake kwa Mtazamaji.

Hivi kuna faida gani kwa Taifa?
Ni mchezo wenye kulipa fedha nyingi kuliko mchezo wowote, ukiwa na Wanariadha 11 kama timu ya mpira, wote wae na viwango bora, utachukua dolla elfu kumi kwa kila mchezaji na Mchezaji apate kiwango kikubwa…Fuatilia
 
Back
Top Bottom