Haya mie sijui, wewe ndo useme what was the problemUnaandika usichokijua. Huyo mshiriki wa Sydney Marathon ni milionea kwahiyo la kufaulishwa ndege lifute kwenye akili yako. Pia hizo mbio hazikuwa za kiserikali.
PUNYETO NA RIADHA NI MAJI NA MAFUTAWiki mbili zilizopita mwanaradha pekee aliyewakilisha mbio za dunia za marathon alishindwa kumaliza mbio hizo ambazo zilifanyika Hungary
Leo mwanariadha mwingine ameshindwa kumaliza mbio hizo
Kuna tatizo gani huko jaman chama Cha riadha RT mmekaa TU ofisin hamuoni Kuna tatizo
Kamati ya olimpic TOC Nanyi mnayaona haya
@
Nimeshafafanua kwa kusema kuwa kutomaliza mbio ni jambo la kawaida kwenye riadha. Tofauti na mpira wa miguu kwamba mchezaji asipokuwa vizuri hutolewa na kuwekwa mwingine kwenye riadha hakuna kitu kama hicho hivyo njia sahihi ni kuacha kuendelea kukimbia. Ukilazimisha yanaweza tokea madhara makubwa ikiwamo kifo. Mwanariadha wa Tz ambaye hakumaliza mbio sio wa kwanza kufanya hivyo. Mwaka 2007 kwenye mbio za nyika zilizofanyikia Mombasa, bingwa mtetezi Kenenisa Bekele aliyekuwa kashinda mbio hizo kwa miaka mitano mfululizo alishindwa kuzimaliza. Ikumbukwe hadi anaamua kutomaliza mbio Bekele alikuwa akiongoza. Natumaini umenielewaHaya mie sijui, wewe ndo useme what was the problem
Kwa hiyo watoke ofisini?Anza kuwauliza hao TOC , alafu Usogee RT wamekaa tu ofisini
Kwa kukuongezea ufafanuzi ni kuwa hata kwenye riadha kuna clubs na sio kila mara mashindano yanahusisha serikali. Kwa mfano hiyo Sydney Marathon sio ya serikali. Kwahiyo hata kwenye maandalizi serikali haihusiki ila mwanariadha akishavuka boda kwa vyovyote inahesabika kawakilisha nchi. Kwahiyo mwanariadha Geay yupo kwenye Club inayofadhiliwa na Adidas. Kwenye hayo mashindano ilikuwa ishu ya yeye na club yake na sio TOC.Haya mie sijui, wewe ndo useme what was the problem
Maandalizi ya mwanariadha yanaanza yeye mwenyewe. Sio kama mpira. Hata huko Kenya tunawaona wakifanya mazoezi binafsi. Ukitegemea TOC au RT utasubiri sana na kubaki kulalamika tuHuyu anabwabwaja tu , toa hoja yenye mashiko , inaonekana unawalamba sehemu hao TOC ndo maana unawatetea…pesa za maandalizi ya Olimpiki nani anatakiwa atoe? Kambi ya Olimpiki imeshawekwa? Nani anatakiwa kuweka zaidi ya hao Wauaji wa Riadha TOC???? Acha Upumbavu wewe
hauwez kuuliza kwanini awamalizi mbio.kwan wewe hauoni kuwa ndo uwezo wao ulipoishia?uwe una tumia akili na wewe.Mtanzania utamjua tu. Kila akisikia mtu amekosolewa, hukimbilia kusema nedna kafanye wewe! Huku ni kukariri na inaonekana karibu kila mtanzania amekariri hili. Hujui kuwa kuna division of labour? Ukiwa mwanariadha unawakilisha nchi watu wanategemea u-perform kama wanariadha wengine kutoka nchi nyingine. Sasa huyu unayemwambia umpeleke ni mwanariadha. Hii culture ya kuuliza ''wewe utaweza?'', imeifanya nchi yetu irudi nyuma kwa kila kitu. Ni njia ya kijinga sana ya kujitetea. Back to the topic. Mwanzisha thread ana hoja ya msingi.
Kwa hivyo amezira au Kuna sababu nyingneHawatumii mafuta ni binadamu hao.
Mbona Gabriel aliyeshindwa kunaliza jana, miezi michache iliyopita alitamba Marekani?
Mbona hukujitokeza kumpongeza?
Unajua unachokipata huko TOC, na ulichokipewa ili uwatetee…endelea kuwalamba miguu.Wewe mpuuzi hiyo Sydney Marathon ni mashindano ya olimpiki? Unajua tofauti ya TOC na RT? Walaumu RT. Siku nyingine ficha upumbavu wako. Hakuna unachokijua kuhusu riadha zaidi ya siasa za chuki ulizo nazo.
Sio kutoka tu, na kupotea kabisa.Kwa hiyo watoke ofisini?
Uwezo wao ulipoishia namna gani na wanapelekwa kuwakilisha nchi? Yaani unaamini kabisa huna uwezo wa kumaliza mashindano halafu unakwenda?hauwez kuuliza kwanini awamalizi mbio.kwan wewe hauoni kuwa ndo uwezo wao ulipoishia?uwe una tumia akili na wewe.
Michezo sio imani kwamba Yesu atarudi. Hata wacheza mpira kuna siku mambo hukataa na kutolewa nje kisha kuingizwa mwingine. Kwenye riadha hakuna substitution. Kama sio wanamichezo bakini kwenye siasa au uganga wa kienyeji.Uwezo wao ulipoishia namna gani na wanapelekwa kuwakilisha nchi? Yaani unaamini kabisa huna uwezo wa kumaliza mashindano halafu unakwenda?
Wewe ni mjinga sana na hata username yako inaonyesha. Kwenye michezo unaposhindwa mara kwa mara basi ni lazima ujiulize ni kwa nini uwe ivyo. Na exactly mwanzisha thread ndivyo alivyofanya. Nyie wajinga mnasema kushindwa mara kwa mara ni jambo la kawaida. Una akili wewe? Kichwa chako ni kama cha huyo unayempigia kampeni anayedhani waarabu ndiyo suluhisho la maendleo ya nchi yetu.Michezo sio imani kwamba Yesu atarudi. Hata wacheza mpira kuna siku mambo hukataa na kutolewa nje kisha kuingizwa mwingine. Kwenye riadha hakuna substitution. Kama sio wanamichezo bakini kwenye siasa au uganga wa kienyeji.
Kushindwa mara kwa mara? Mwanariadha Geay ni mshindi wa pili Boston Marathon zilizofanyika miezi michache iliyopita. Ni mwanariadha namba 4 duniani mwenye muda bora zaidi kwenye kumaliza marathon.. masaa 2:03 yaani kazidiwa tu na Eliud Kipchoge, Kenenisa Bekele na kijana mmoja mkenya. Ni miongoni mwa wanariadha bora kabisa kwa sasa chini ya jua. Huyo haombi kushiriki mashindano bali anaalikwa na kulipiwa kila kitu. Na hata anapomaliza mbio kuna bonus anapata. Unafikiri mwanariadha kama huyu ni mpumbavu kama wewe kwamba aache tu mbio bila sababu?Wewe ni mjinga sana na hata username yako inaonyesha. Kwenye michezo unaposhindwa mara kwa mara basi ni lazima ujiulize ni kwa nini uwe ivyo. Na exactly mwanzisha thread ndivyo alivyofanya. Nyie wajinga mnasema kushindwa mara kwa mara ni jambo la kawaida. Una akili wewe? Kichwa chako ni kama cha huyo unayempigia kampeni anayedhani waarabu ndiyo suluhisho la maendleo ya nchi yetu.
Ndiyo maana nimekuambia wewe ni mjinga kama huyu unayempigia kampeni 2025. Hata kama alishawahi kushika nafasi ya pili, kama safari hii hakuweza hata kumaliza huoni kuna hoja nzuri tu kwenye udadisi wake? Hivi wewe huoni mantiki ya kuhoji hapo?Kushindwa mara kwa mara? Mwanariadha Geay ni mshindi wa pili Boston Marathon zilizofanyika miezi michache iliyopita. Ni mwanariadha namba 4 duniani mwenye muda bora zaidi kwenye kumaliza marathon.. masaa 2:03 yaani kazidiwa tu na Eliud Kipchoge, Kenenisa Bekele na kijana mmoja mkenya. Ni miongoni mwa wanariadha bora kabisa kwa sasa chini ya jua. Huyo haombi kushiriki mashindano bali anaalikwa na kulipiwa kila kitu. Na hata anapomaliza mbio kuna bonus anapata. Unafikiri mwanariadha kama huyu ni mpumbavu kama wewe kwamba aache tu mbio bila sababu?
Una maneno ya kisiasa sana wewe mpuuzi. Geay mwenyewe alishatoa ufafanuzi kuwa haikuwa siku nzuri kwake. Mwili uligoma. Kuna ufafanuzi gani mwingine zaidi ya huo aliotoa mhusika? Kwa akili zako za ki-chadema unadhani kavunja sheria gani ya jamhuri?Ndiyo maana nimekuambia wewe ni mjinga kama huyu unayempigia kampeni 2025. Hata kama alishawahi kushika nafasi ya pili, kama safari hii hakuweza hata kumaliza huoni kuna hoja nzuri tu kwenye udadisi wake? Hivi wewe huoni mantiki ya kuhoji hapo?
Kushindwa mchezo unapoiwakilisha nchi ni lazima watu wahoji. Kwa nini hutaki tuhoji? Angalia unavyozidi kuwa mpumbavu. Nani kasema kavunja sheria? Nimeshakuambia uwezo wako kichwani ni sawa na huyo unayempigia kampeni. Wote mlitakiwa muwe kwenye makundi ya taarabu.Una maneno ya kisiasa sana wewe mpuuzi. Geay mwenyewe alishatoa ufafanuzi kuwa haikuwa siku nzuri kwake. Mwili uligoma. Kuna ufafanuzi gani mwingine zaidi ya huo aliotoa mhusika? Kwa akili zako za ki-chadema unadhani kavunja sheria gani ya jamhuri?
unataka kusema wameuza mechi?Uwezo wao ulipoishia namna gani na wanapelekwa kuwakilisha nchi? Yaani unaamini kabisa huna uwezo wa kumaliza mashindano halafu unakwenda?
Wewe mpumbavu itabidi mashindano yajayo uende wewe maana mhusika mwenyewe kashafafanua lakini bado huelewi. Unadhani riadha ni kama kupiga siasa hapo Ufipa. Shenzi kabisaKushindwa mchezo unapoiwakilisha nchi ni lazima watu wahoji. Kwa nini hutaki tuhoji? Angalia unavyozidi kuwa mpumbavu. Nani kasema kavunja sheria? Nimeshakuambia uwezo wako kichwani ni sawa na huyo unayempigia kampeni. Wote mlitakiwa muwe kwenye makundi ya taarabu.