Mtanzania utamjua tu. Kila akisikia mtu amekosolewa, hukimbilia kusema nedna kafanye wewe! Huku ni kukariri na inaonekana karibu kila mtanzania amekariri hili. Hujui kuwa kuna division of labour? Ukiwa mwanariadha unawakilisha nchi watu wanategemea u-perform kama wanariadha wengine kutoka nchi nyingine. Sasa huyu unayemwambia umpeleke ni mwanariadha. Hii culture ya kuuliza ''wewe utaweza?'', imeifanya nchi yetu irudi nyuma kwa kila kitu. Ni njia ya kijinga sana ya kujitetea. Back to the topic. Mwanzisha thread ana hoja ya msingi.