spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Huko ni olympic
Sasa na huko kwenye ndoa zenu hali ni mbaya
Uzuri tumekula kiapo tulinde taarifa zenu
Sasa na huko kwenye ndoa zenu hali ni mbaya
Uzuri tumekula kiapo tulinde taarifa zenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mipango ya kocha wake, meneja na Geay mwenyewe, adrop ili wachukue mpunga kwa akili zao za kijinga…unataka kusema wameuza mechi?
Nawajua baadhi ya wamang'ati au barabaiq huko manyara asee hao ukiwapa train ya riadha hatumalizi miaka5 tunaleta dhahabu nyumbnKwan ishu ni nini? Ishu ni hiyo MANAGEMENT yenu haipo serious na kazi. Waende maporini huko waone watu wanavyojua kukimbiza upepo.
hela hzo watapewa na nani?wakati wameshindwa?Ni mipango ya kocha wake, meneja na Geay mwenyewe, adrop ili wachukue mpunga kwa akili zao za kijinga…
Kampuni iliyofadhili safari na kila kitu (adidas)hela hzo watapewa na nani?wakati wameshindwa?
Ni kweli kabisa. Hakuna maandalizi ya kutosha, na pia lishe Bora hawapati.Umenena vyema, maandalizi hafifu, hakuna kambi rasmi. Wanariadha wanapambana peke yao ni shida tupu
Dah! Kwahiyo wanaoshinda kwenye riadha ni wazungu?Nadhani ni misosi tunavyokula,tunaita vya asili but makande ni chakula kizito sana.Mzungu yy anakula biskuti na maziwa mbio zake tutaziwezea wapi?
Unaongea tu siasa wewe. Mwanariadha milionea kama Geay mwenye ufadhili wa Adidas akose lishe? Punguzeni ujuaji kwenye mambo msiyoyajua.Ni kweli kabisa. Hakuna maandalizi ya kutosha, na pia lishe Bora hawapati.
Acha upotoshajiKampuni iliyofadhili safari na kila kitu (adidas)
Hivi unajua maana ya kambi wewe?!Unaongea tu siasa wewe. Mwanariadha milionea kama Geay mwenye ufadhili wa Adidas akose lishe? Punguzeni ujuaji kwenye mambo msiyoyajua.
Wanaogopa wakimaliza hawatakwenda kushiriki tena.Wiki mbili zilizopita mwanaradha pekee aliyewakilisha mbio za dunia za marathon alishindwa kumaliza mbio hizo ambazo zilifanyika Hungary.
Leo mwanariadha mwingine ameshindwa kumaliza mbio hizo.
Kuna tatizo gani huko jamani chama Cha riadha RT mmekaa TU ofisini hamuoni Kuna tatizo.
Kamati ya olimpic TOC Nanyi mnayaona haya
Bado nakuona mpiga siasa kwa sababu hujui hata jinsi professional athletes wanavyoishi. Daraja alilopo kwa sasa huyo Geay hayo yote unayosema anayafanya na zaidi. Kabla hata ya serikali huwa Club yake inamwongoza kwenye kila kitu. Hizo kambi za mwezi mmoja zinazofadhiliwa na serikali huwa zina mchango mdogo sana kwenye kipaji chake. Ndo maana hata kwenye mpira inashauriwa nchi iwe na wachezaji wengi wanaocheza Ulaya ambako wanajua nini maana ya professional footballler. Kambi za Taifa Stars ni bure kama haina wachezaji wanaochezea Club za Ulaya.Hivi unajua maana ya kambi wewe?!
Kwenye kambi kuna wataalamu wa fani mbali mbali k.m. mazoezi, tiba, lishe n.k.
Unaweza kuwa milionea lakini usielewe lishe gani unayotakiwa kutumia.
Ukiangalia hata wachezaji wa timu za Ulaya na za kwetu huoni tofauti? Lishe zao zinasimamiwa na wataalam wa nutrition.
Nimeshaona nabishana na mtu ambaye anabisha tu for the sake of it.Bado nakuona mpiga siasa kwa sababu hujui hata jinsi professional athletes wanavyoishi. Daraja alilopo kwa sasa huyo Geay hayo yote unayosema anayafanya na zaidi. Kabla hata ya serikali huwa Club yake inamwongoza kwenye kila kitu. Hizo kambi za mwezi mmoja zinazofadhiliwa na serikali huwa zina mchango mdogo sana kwenye kipaji chake. Ndo maana hata kwenye mpira inashauriwa nchi iwe na wachezaji wengi wanaocheza Ulaya ambako wanajua nini maana ya professional footballler. Kambi za Taifa Stars ni bure kama haina wachezaji wanaochezea Club za Ulaya.
Hilo swali la kwanza kwamba kwanini sisi tushindwe ni swali zuri na ninakupongeza. Kuna sababu nyingi sana ila sababu kubwa ni serikali kutotia juhudi za kutosha kwenye kuibua vipaji. Swali la pili ni la hovyo na halina maana yoyote ila tambua kwamba hata hao wakenya hawasimamiwi na serikali. Wana timu zao. Au unadhani mwanariadha anavyokimbia pale kajiendea tu peke yake? Nyuma yake ana management inayomsimamia.. na hata hela za zawadi na malipo mengine kuna wadau wana chao pia. Professional athlete ni kama mtoto. Husimamiwa kila kitu hadi chakula na muda wa kupumzika. Wana ratiba za kulala mchana.Nimeshaona nabishana na mtu ambaye anabisha tu for the sake of it.
Kama athletes wa Kenya wanaweza kudominate kwenye International competitions kwa nini sisi tushindwe?
Unadhani ufumbuzi ni kumwacha Kila mchezaji ajisimamie mwenyewe?